Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 7,511
- 12,894
Tusihalibiane ugali basi, muache kijana aje tumsaidie.Wakiamua kuzima hata utumie vpn ya mizimu na majini hazishiki we tulia tu usije ukatapeliwa
Tusihalibiane ugali basi, muache kijana aje tumsaidie.Wakiamua kuzima hata utumie vpn ya mizimu na majini hazishiki we tulia tu usije ukatapeliwa
Kuna kipindi nilikuwa natoa darasa kwa watu wawasiojua kutumia FacebookNa hiyo 1111 bila kulipia 2700 hauwezi kutoboa Itakuwa inakatakata asipolipia
Nani anazima satellite naweSettelite ikizimwa hakuna ujanja