Recent content by blackbandana

  1. blackbandana

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Nape ni ubinafsi, chuki na sononeko. Kiongozi wa namna hii hatufai hata kidogo

    Jadili hoja ya Nape, usimjadili Nape!!!
  2. blackbandana

    JamiiForums Tanzania Serikali itende haki

    Lipa kodi ndo uzalendo, acha kulialia ww!!! Hakuna tatizo kwe kodi hizo mana zinajenga nchi
  3. blackbandana

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Habari zenu wakuuu..... Naomben msaada wenu, nimeplan mwakan 2022 niende nje kusoma masters nikifanikiwa kupata scholarship!! Nchi nazopendelea ni South Korea, China, India na Australia huku course iwe mambo ya environment, gender au social development!! Mwny ufaham samahan naomba anisaidie...
  4. blackbandana

    JamiiForums Tanzania James Rugemalira aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka

    Kafulila hana kosa, ni kwel kuna ufisadi ulifanyika kwe ile mikataba sema ilihusisha had ikulu ndo maana bwana Ruge alikua anajiamini na kusema waitwe viongozi walosaini!! Kichofanyika bwana ruge hajaogopa ndo maana wamemuachia!! HII NCHI INA VITUKO
  5. blackbandana

    JamiiForums Tanzania Miradi iliyoachwa na Hayati Dkt. Magufuli yawatesa mafisadi

    Endeleeni kumuogopa tu hata kama kishakufa!!! Kipind hiki ndo tunaishi kitanzania sio kinafki na uongo!!! Mama samiah twende tuuu ingawa kuna mambwa machache ka haya bdo yko kwe system uyatoe taratibu
  6. blackbandana

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Hello??? .... Mwnye video ya Nikko mbishi- PLAYBOY naomba anitumie humu ama link yake mana you tube nimeikosa
  7. blackbandana

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Msaada tafadhal, nahitaji kufanya biashara ya kuonyesha mpira! Mwnye uzoefu tafadhal niandae bajet kiasi gani? NB NATAKA KUANZA MWEZ WA 8.
  8. blackbandana

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    spark ft tundaman- sivutii At ft unique dadaz, huu siujui jina Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  9. blackbandana

    JamiiForums Tanzania Nimefuatilia shutuma nyingi dhidi ya Sabaya zinaonesha zina ukakasi. Hongera Rais kwa kuruhusu uchunguzi juu yake

    Punguza ujinga!! Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  10. blackbandana

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiuzulu, ameshindwa kumshauri 'kisheria/kikatiba' Rais Samia S Hassan

    We jamaa unatumia ubongo upi kufikiria???? Shwain mkubwa
  11. blackbandana

    JamiiForums Tanzania Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Mkuu, hiv akati unakwenda kutafuta utajiri huo ulishawah kupata taarifa kua hua kuna mashart magumu??? Au ndo ulienda bila idea yoyote??
  12. blackbandana

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mimi na jamaa zangu 12 na ndugu zangu 6 tunamuhakikishia Tundu Lissu kura 18

    Hiyo kupitia kutambua madhila ya CCM miaka 59 baada ya Uhuru maendeleo ya kujikongoja na propaganda za miaka mitano ya JPM. NDANI YA MIAKA 5 1. Kuua soko la mazao ya biashara kama vile korosho, tumbaku na kahawa siku hiz hayana thamani kama zamani. 2. Kuwatesa watumishi kwa kutowapa stahiki...
  13. blackbandana

    JamiiForums Tanzania Mambo ni moto: Wakurugenzi wa Halmashauri waanza kuomba kura kwa Watumishi

    Kwa sera gani alotekeleza kwa watumishi au aloahid??? Hana mvuto tena kwa watumishi, ni mtumishi mpuuz ndo atakayempa kura af kizur watu washatambua kura ni SIRI!! watamjibu kwe Sanduku sio hadharan mana ni mtu wa visas sna
  14. blackbandana

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mwenye audio ya juma nature ft nonini- nani mwenza
Back
Top Bottom