Recent content by Black Rhino

  1. B

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa Katiba!... Endapo ...!

    Kwani hiki chama cha rangi kama majani ya MIGOMBA una uhakika nacho kuwa hakihusiki na kashfa za namna hiyo? Je ni CHADEMA tu mnawatishia au ni pamoja wa vyama vingine?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kikao gani kiliamua Nyerere awe 'Baba wa Taifa'?

    Omba kwanza kujua ni sifa gani za kanisa katoliki zinazomfanya mtu kutangazwa mtakatifu au mwenyeheri. Pili yaangalie kwa karibu maisha ya mwalimu Nyerere na Binadanu wenzake duniani wakati wa uhai wake. Baada ya hapo uliza swali lako.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Siri ya Mwenge wa Uhuru

    Kama ulitumika wakati wa uhuru, basi waupeleke kwenye jumba la makumbusho au kwenye maktaba ya mwl. Nyerere butiama.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Sababu iliyomfanya mkuu wa mkoa Arusha kupigwa mawe

    Poleni wadogo zangu wa Arusha. Huyu aliyeingia kichwa kichwa Arusha ITAKULA KWAKE labda arudi alikotoka.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe amliza Chami

    Walimuibia mgombea wetu wa chadema 2010 waziwazi eti kisa uwaziri, sasa hakuna cha uwaziri wala ilani ya ccm. Kilio chao 2015.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serukamba hakutolewa bungeni?!

    wabunge wa ccm hawana elimu na pia sheria hawaijui vizuri kwa hiyo wamefika bungeni kwa uswaiba wa viongozi wa juu
  7. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanamwogopa Mwigulu Nchemba kuliko kitu chochote

    mwigulu haogopwi na CHADEMA ila kwa vile mwigulu ni sawa kichaa huwezi kumsikiliza maana hali yake mbaya sana na maanisha 2015 asahau kuingia bungeni
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ninalaani vikali udhaifu wa Kiti cha Spika na aibu ya Taifa letu

    Hata kwenye familia baba akiwa hana msimamo na uelewa wa nafasi yake (spika) haya ndo hutokea.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mkosamali: Vitambulisho vya uraia ni zaidi ya vya mpiga kura

    vise versa
  10. B

    JamiiForums Tanzania CAG aikosoa serikali! Amtunishia msuli Makinda kuvunja POAC, ashauri irudishwe! PSPF hatarini kufa

    Naye Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (POAC), Zitto Kabwe, alisema pamoja na mabadilko machache, bado ripoti hiyo ni mbaya, kwani bado kuna matatizo makubwa ya usimamizi wa fedha za serikali. Alishangaa Wizara ya Nishati na Madini kushindwa kukusanya...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete akanusha tuhuma juu yake na kusema ni uhalifu wa mtandao!

    Watavuna waliyopanda as "what goes around is what comes around"
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nani Kamanda wa Ukweli kati ya Mbowe na JK...... Angalia picha utoe majibu!

    kila mwenye swali aniulize mimi maana majibu hapa sikopeshi yapo waziwazi
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nani Kamanda wa Ukweli kati ya Mbowe na JK...... Angalia picha utoe majibu!

    nikope majibu unilipe kesho maanahiyo majibu yake inauzwa ghali
  14. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni Wacheza Disko - Prof. Lipumba

    Bwana Lipumbaee "h at u d a n g a n y i k i"
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa machemuli wa chadema

    makamada hawatangulizagi maendeleo yao, atoe kwanza shukrani kwa wapiga kura wake then mambo mengine baadae lasivyo anakiuka katiba ya chadema
Back
Top Bottom