Nani Kamanda wa Ukweli kati ya Mbowe na JK...... Angalia picha utoe majibu!

Acha kuropoka. Baba yako ni baba yako tu. hata ukikataa JK ni raisi wa Tanzania. Mbowe ni mbunge hana ubavu hata kidogo kulinganishwa na JK. Utapata laana bure. Heshimu mamlaka iliyopo. poa?

laana hiyo lazima hianzie kwako maana na wewe umeshindwa kuheshimu mchango wa mwenzio.
 
Kamanda ni mboe daima na huyo vasco dagama hana lolote kwetu wananchi hata kama kapitia jkt, uwezo wake kupigania haki za wananchi kwa Jk ni zero while mboe anakubalika 100%
 
hapa nani anayeonekana kuwa kamanda wa kiukweli ukweli

199082_1479621370369_7574636_n.jpg

mkono wa chuma huo, ukishika madaraka ni soo!
 
[,
QUOTE=Paul Kijoka;4075934]Naona JK ka anaanguka vile kwa woga au siku hizi kapinda kiaina?[/QUOTE]



Amepinda sababu ya mambo yetu, yaani anapendaga sana mheshimiwa
 
QUOTE=Chenge;4075379]hapa nani anayeonekana kuwa kamanda wa kiukweli ukweli

199082_1479621370369_7574636_n.jpg
[/QUOTE]

Hapo kama Jk anamuogopa mkula! Yani kama anarudi nyuma ivi nakumsalimu kwa tahadhari
 
Jk mkimuita kamanda mnamwonea huyo ni sharobaro unaona hata style aliyosimama nayo..!kashikwa kidogo kabenjuka. Mbowe ni kamanda tu..uchukie, unune, ulie....
 
Back
Top Bottom