Kwani kasema uongo?
Hili nadhani ndiyo tarajio. Lakini dalili za haya zilianza kuonekana wazi siku ile ya kumpongeza Kikwete kwa ushindi. Alipomkabidhi Kikwete kopi ya Itikadi ya chama cha CUF. Alionekana kama mwanafunzi anayekabidhi risala fulani hivi kwa mwalimu Mkuu. Kama uliona vizuri ile program kwenye TV hata former Mr. Clean alimcheka na kumshangaa sanaa. Profesa mzima Hovyoo!Prof. atakuwa anajikomba ili aupate ubunge km mbatia, wote walewale.
Alikuwa anamaanisha nini huyu mzee?,kumbe hata Kama umesoma sana haisaidii eeh?kwa kauli hiyo ya Lipumba na usomi wake tumtafsiri vipi?
CCM je?