Recent content by Black ma colour

  1. Black ma colour

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mfuko wa uwekezaji wa UTTS

    Habari za leo wana JF. Naomba msaada wa maelekezo/maelezo kuhusu mfuko wa UTTS. Awali ya yote nimejaribu kusoma kwenye tovuti yào ya utts nikiri sikuweza kupata maarifa yakutosha. Mwenye uelewa kuhusu hii mifuko anisaidie. Ushauri napokea pia Thanks
  2. Black ma colour

    JamiiForums Tanzania Mliopiga Misumari Fraga na sasa Lwanga, mnatukosea wana Simba

    mkude aondokeee
  3. Black ma colour

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ps4 machine

    slim nakuuzia 750, fat nakuuzia 650 nipo dar . call me 0713924581
  4. Black ma colour

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    nilifanya kosa kuwaamini Leeds kumbe ni takataka
  5. Black ma colour

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    valencia ananiangusha jamani, yan kishapigwa 2 bila 1st half
  6. Black ma colour

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wazee mbet kila nikipress bet these days inazingua, sina muda wa kupoteza naombeni link ya app ya kubet isiyokuwa na ubabaishaji chap nibet
  7. Black ma colour

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Hospitali maalum kwa ajili ya watoto

    hellow brother, pole kwa kuuguza, nenda muhimbili kitengo cha watoto muulize doctor kissenge, he is a very good doctor wa watoto, kwanza ni nadra kumpa mtoto dawa, huwa anaangalia chanzo, na kama akimuandikia mtoto dawa mfn sindano jiandae kufuatiliwa, anajali sana watoto na kiukweli anajua huwa...
  8. Black ma colour

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya Tanzania: Kampuni bora na zenye changamoto katika kuhudumia wateja wake

    Huduma ya kung'arisha meno haipo kwenye bima, tafadhali rekebisha hapo juu. Tena bima yenyewe NAJALI tafadhali Sana punguza fix bro. Hizo bima za bundles zinachangamoto nyingi ya dawa!
  9. Black ma colour

    JamiiForums Tanzania Ni kipindi gani ulisanuka "nimekua mtu mzima, ni muda wa kubadilika"

    Hongera Sana , pambana
  10. Black ma colour

    JamiiForums Tanzania Nimelidharau sana gazeti la Mwananchi, kwa habari ya Msigwa wamepotoka

    Kwani wameandikaje ndugu ? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Black ma colour

    JamiiForums Tanzania Meghan Markle alivutia macho ya wengi Leo kwenye Commonwealth Day iliyofanyika Westiminister

    Huyu sister yupo na jina USA, ni celebrity, usifikirie katika jalalani. Kaigiza movie kibao na series pia. Mcheki kwenye SUITS, usidhani katokea kazuramimba . kumbuka huyo mwanamfalme mwenyewe kaondoka kwenye ufalme na urithi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Black ma colour

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania leads Kenya in the list of dollar millionaires

    Mimi simo katika hiyo orodha, Mimi ni nani? Aisee wacha tupambane wapwa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Black ma colour

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Utamaduni wa Ufaransa aambukizwa virusi vya Corona

    Huwa wanafariki mbona, fuatilia kisa cha kiongozi wa Iran kilitokea nn. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom