Msaada kuhusu mfuko wa uwekezaji wa UTTS

Msaada kuhusu mfuko wa uwekezaji wa UTTS

Black ma colour

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
733
Reaction score
664
Habari za leo wana JF.

Naomba msaada wa maelekezo/maelezo kuhusu mfuko wa UTTS.

Awali ya yote nimejaribu kusoma kwenye tovuti yào ya utts nikiri sikuweza kupata maarifa yakutosha.

Mwenye uelewa kuhusu hii mifuko anisaidie.

Ushauri napokea pia

Thanks
 
Back
Top Bottom