Recent content by Black jackal360

  1. Black jackal360

    JamiiForums Tanzania Habari mimi nina leseni ndogo class D je ninao uwezo wa kuendesha gari ndogo fuso au tata (Single)

    Ninao uwezo wa kuendesha sema nataka kujua kuwa sheria itaniruhusu kuendesha gari hizo kutokana na class yangu na je fuso single ni class D au laa
  2. Black jackal360

    JamiiForums Tanzania Je ninaweza kuongeza daraja class E katika leseni kama nina cheti cha class E hata kama leseni yangu ndogo haikutimiza mwaka au hata kama ina mwaka

    Naombeni muongozo wakulu Elewa swali.
  3. Black jackal360

    JamiiForums Tanzania Habari mimi nina leseni ndogo class D je ninao uwezo wa kuendesha gari ndogo fuso au tata (Single)

    Naombeni mchangie tafadhari
  4. Black jackal360

    JamiiForums Tanzania Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Jina langu nadhani linafahamika BLACK JACKAL ni A.K.A ya mwamba mmoja hivi alishafanya matukio mengi sana na alipotafutwa alitumiwa wauwaji mahiri na walenga shabaha mashuhuri lakini hawakufua dafuuu 😂
  5. Black jackal360

    JamiiForums Tanzania Anayeuza simu

    Poa ila me ndio hivyo sina helaa
  6. Black jackal360

    JamiiForums Tanzania I need a male friend to chat with

    Mmi marioo nakaa pembeni
  7. Black jackal360

    JamiiForums Tanzania Kwanni kila siku naacha na kuachwa

    Habari zenu wakuu , mimi ni kijana wa miaka 19 ambae nimekutana na matatizo katika maisha yangu ya mapenzi hadi sasa nimeshaacha wanawake 11 na kuachwa mara 2 je nitakuwa na shidabgani maana kama mapenzi nayajua haswa ila chaajabu niambulia kuachwa tu kila siku Karibuni wakuu
  8. Black jackal360

    JamiiForums Tanzania Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

    Umeongea ukweli ila njia nzuri ni kutafuta mwanamke then nauhakika utaacha tu ukiwa na churaa
  9. Black jackal360

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Sote ni wamoja tudumishe aman #soutAfrica
  10. Black jackal360

    JamiiForums Tanzania Anayeuza simu

    Wakuu kama utasikia mtu yeyote anauza simu aina ya samsung au iphone nzuri isiyozidi laki 3 ambayo ni nzuri isiyo na tatizo lolote iwe na rangi nyeusi we muache auzeee me sina elaaa
  11. Black jackal360

    JamiiForums Tanzania Historia ya neno Msela na Baharia

    Kazi kwenu mabaharia
  12. Black jackal360

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Nawapenda wote one nation , one love
  13. Black jackal360

    JamiiForums Tanzania Kati ya Jasusi na Commando, yupi ni mtu hatari sana anayepaswa kuogopwa?

    Napita ila anaepaswa kuogopwa ni jasusi maana hawa watu ni hatari kuliko kawaida haswa kwenye upande wa maarifa.
  14. Black jackal360

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Like me
Back
Top Bottom