Sas tukuulize hvi cheo cha magu jeshini unakifahamu yaweza kuwa umeleta uzi hapa na wew uonekane unaweza posti ,,,yani unajadili ni vipi amri jeshi mkuu wa nnchi kuvaa sare ya jeshi mara nyingi wew nenda kapimwe utakua mgonjwa
Huo ni unyumbu ulioenda shule ,,,hvi mnafikiri kuanzisha jeshi lako katika inchi yoyote ni rahisi .???acha nicheke mawazo ya ufipa hata mtoto aliyezaliwa leo anaunafuu mkikosa huja msilete upupu kama huu anzisha lako mashiji alafu litambulike ndio utaona rangi hata ya kuzimu ambayo haujawahi...
Hahahaha tulijua hamchelewi kuja na uzi wa kulia lia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28] da na nyie wapangeni wenu acheni kulia lia ,,huu sio muda wa kulia lia wew pambana na hali yako
Leo mpo pamoja na nape????kweli walioita manyumbu hawakukosea ,,,,nape huyu huyu wa goli la mkono ,huyu huyu ugali umemwagika anajitia mipisho ,,,,,,watakaomuona anamaa ni manyumbu yasiyojua yametoka wapi na yanaenda wap kazi kwenu ufipaa
Ngoja nikuambie mkuu huo hautokua ,,uzalendo kaka,,,,Tz kuna wazalendo wengi ila siasa zinatuvuruga sana tukatae tukubali ,,watu wanaongozwa na mihemko ya siasa kuliko kutizama taifa tutalipeleka wapi
Huyo mwananchi wa kawaida apambane na maisha awe kama wananchi wengne wasioitwa wa kawaida,,,,,hoja ya kijinga mnaleta ndio maana hatuendelei ,kila kitu mwanchi wa kawaida kwani wengne maroboti hapa kazi tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.