Dr Magufuli escapes key international events

Dr Magufuli escapes key international events

Bora asisafiri kwani ziara za nje ni mzigo kwa walipa kodi.
Anatekeleza ilani ya Ukawa ya kulalamikia safari nyingi alizofanya Rais wa awamu ya tano
Lakini ukumbuke muakilishi anaenda hilo ukae ukijua.
Sasa unaweza kuniambia kua amepunguza nini au ameongeza nini?
 
Magazeti ya USA yameripoti haya

President John Magufuli has skipped another high profile United Nations General Assembly (UNGA) held in New York in the US between September 18 and 20, this year.

In the meeting, Tanzania is represented by Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation, Dr Augustine Mahiga.

The meeting which started today, September 18, was addresses by the US president Donald Trump who among other issues spoke about the North Korea’s nuclear threat and UN reform agenda.

Recent reports said that Tanzania was among several African countries being investigated by the United Nations for violating the sanctions imposed on the Asian country.

Addressing reporters in last week before his departure, Dr Mahiga said among others, he would meet with the five UN permanent members to assure them that Tanzania had ceased relationship with North Korea.

This is a second UNGA that President Magufuli has skipped since he came into power in November 2015. The first UNGA skipped was held in September last year.

Dr Magufuli has also escaped key international events where he was expected to meet with other leaders in Africa and at the UN.

Instead, he has been sending representatives, including the Vice President, Ms Samia Hassan Suluhu, and Prime Minister, Mr Kassim Majaliwa and the Foreign Affairs Minister.

Some of the meetings he escaped were the forum on China-Africa Co-operation in Johannesburg held in South Africa in December 2015. He sent Ms Suluhu to attend.

President Magufuli also delegated Prime Minister Kassim Majaliwa to represent him at the Double Troika Summit of the Heads of State and Government of the Southern African Development Community (SADC) which was held in Gaborone, Botswana on January 18, 2016.

Another one was the 26th meeting of the heads of state of the African Union (AU) in the Ethiopian capital, Addis Ababa, in 30 January 2016.

He also skipped the high profile continental meeting, the 27th African Union Heads of States Summit held in Rwandan capital, Kigali in July 2016.

The recent one was the 37th Ordinary Southern African Development Community (SADC) Summit of Heads of State and Government held in last month in South Africa where he sent his vice, Ms Suluhu.
Kama kuna wawakilishi wazur haina haja ya yeye kwendwa hizi siasa maji taka pelekeni kule
 
Bora asisafiri kwani ziara za nje ni mzigo kwa walipa kodi.
Anatekeleza ilani ya Ukawa ya kulalamikia safari nyingi alizofanya Rais wa awamu ya tano
Je yule anayemwakilisha? Umeokoa nn
 
Kwa kebehi zako zile dhidi ya Taifa letu Tanzania kwa kuzipitiasha kwa Rais wetu mpendwa, Dr. Magufuli, kuna uwezekano mwingine mkubwa una wasiwasi wa kikejeli dhidi ya Dr. Maiga. Nakushauri tafuta CV yake.

Kwa uchache Dr. Maiga aliweza kugombea urais kupitia chama Tawala nchini Tanzania. Hilo tu lilitosha kabisa, mtanzania mwenzagu, BAK, kutokudhubutu kutukebehi watanzania kwa uamuzi wa Rais wetu Dr. Magufuli kumtuma Dr. Maiga kwenda kutuwakilisha kwenye UNGA.

Nakushauri uache tabia hii mbaya ya kutukebehi sisi watanzania wenzako ambao kwa moyo mmoja na wingi wa kura zetu tulimuweka madarakani Rais wetu mpendwa Dr. Magufuli na viongozi wengine wa kisiasa.

Keep on guessing.
 
1.Poor in International Relations/Diplomacy..

2.Language Improficiency..

3.Lack of Exposure..

These are some of the main reasons which make him to skip these meetings.
Mkuu hiyo ya pili nafikiri anajua lugha ya kifaransa vizuri maana wakina sie wenye vi bachelor degree lugha ya malikia haitupi shida sasa mtu ana PhD halafu anampa tabu Ras Simba huoni maajabu hapo?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Lugha mchezo.
Uliangalia Ukumbi Mugabe alipohutubia baraza? Hivi akili zenu mnadhani hawa watu wanasikiliza nini kinaongelewa na viongozi wenu? Ninyi endeleeni kumdhihaki rais wenu lakini nchi zingine afrika wenye akili kutushinda sisi tunaojifanya wataalamu wa kiinhereza mitandaoni wanamsifu kwa msimamo wake. Ni rahisi sana kumsema Magu hajui kiingereza wakati zikiletwa thread za kiingereza mnakimbia hapa. Keyboard warriors
 
...Zamani nchi yetu ilikuwa na heshima sana pamoja na umasikini wake. Wakati wetu pale UN ilikuwa ikitangazwa kwamba anayekuja kuongea sasa ni mtanzania, ulikuwa hutoki nje kwenda kuvuta sigara. Utasubiri hadi mtanzania amalize kuongea ndiyo ukavute sigara...siku hizi naambiwa kwamba wanasubiri mtnazania aanze kuongea ndipo mtu apate nafasi ya kwenda kuvuta sigara....{Julius Nyerere, Jangwani Grounds in D'Sslaam at inauguration of CCM Campaign, 1995}.


Haya yalikuw ani maneno ya Mwalimu Nyerere siku inazinduliwa kampeni kumpigia debe Benjamin Mkapa. Je, leo tunazungumza nini kuhusu heshima yetu pale UN.
 
Eti Rais mpendwa! Unapenda nini hasa? Chuki zake, uongo, wizi, ufisadi au visasi vyake? Mkewe anayemfahamu vizuri kuliko wewe alikataa kumfanyia kampeni na kama wangemsikiliza wangetuepusha na hili janga kubwa nchini. Utakuwa hujitambui wewe hadi kumpenda mtu dhalimu kama huyu. Sihitaji kusoma CV yake ili kuhitimisha huyu hatufai Watanzania tena ni janga kubwa sana.

Na kwa taarifa yako sina kebehi zozote bali ukweli mtupu na ushahidi wa kina na si mimi tu bali Watanzania wengi sana hata ndani ya CCM kumbuka kauli za Kinana, Mwinyi, Butiku, Warioba na sasa Kikwete, "Wapinzani si Maadui"



Kwa kebehi zako zile dhidi ya Taifa letu Tanzania kwa kuzipitiasha kwa Rais wetu mpendwa, Dr. Magufuli, kuna uwezekano mwingine mkubwa una wasiwasi wa kikejeli dhidi ya Dr. Maiga. Nakushauri tafuta CV yake. Kwa uchache Dr. Maiga aliweza kugombea urais kupitia chama Tawala nchini Tanzania. Hilo tu lilitosha kabisa, mtanzania mwenzagu, BAK, kutokudhubutu kutukebehi watanzania kwa uamuzi wa Rais wetu Dr. Magufuli kumtuma Dr. Maiga kwenda kutuwakilisha kwenye UNGA. Nakushauri uache tabia hii mbaya ya kutukebehi sisi watanzania wenzako ambao kwa moyo mmoja na wingi wa kura zetu tulimuweka madarakani Rais wetu mpendwa Dr. Magufuli na viongozi wengine wa kisiasa.
 
Back
Top Bottom