Hivi mtu kama hasafiri hata zile safari za lazima,marupurupu yake ya safari anayafidia vipi?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Hili ndio swali ninalojiuliza kwa muda mrefu sasa maana mtu wa kuridhika namna hiyo simuoni.

Mtu mjamaa wa kiwango hiki yupo leo hii miongoni mwa hawa jamaa wa leo?

In this country, it is wiser to be pessimistic rather than being optimistic.

Nawaza tu.
 
Bavicha mnatuchosha,mnachokitafuta hamtakipata kwa jina la yesu
Wazalendo wote tuseme ameni
HAPA KAZI TU
 
Anadhihirisha alifaa kuwa diwani, sio presidaa,

Presidaa ni muwakilishi wetu duniani,sasa kama tunashinda naye manzese hapa,nadhani atupishe

Kama anaogopa wazungu basi ajizoeze kwenda beach
 
Adui muombee njaa na BAVICHA waombee ujinga,kwa akili kama hizi Tanzania hakuna upinzani maana mtu aliyezoea ujinga tangu ujanani hata akiwa mtu mzima atakua mjinga tu halafu watu kama hawa baadae hua wanagombea Urais kupitia upinzani
 
Back
Top Bottom