Waliotangaza kuhamia CCM arusha walikuwa wamepangwa

Hapo anatafuta mwingine wa kumiminiwa risasi, kutokana na shuhuli yenyewe ilivyo lengwa !! ccm na nishani !!!! Mhhhh hata kama mtu sio msemaji/muwazaji hapa jaribu linazidi uwezo,atawaza tu, au kuongea tu !!! Nchi imekwishaaaaa !!
 
Si mlisema wameandika barua ya kurudi CHAGADEMA sasa nafikiri wamewathibitishia kuwa wamemkimbia Makengeza na Mamvi sasa mnawashwa washwa nini?

Anawashwa huyo mzee meko mapumbu yanatoa pumba kama nguruwe
 
kama walipangwa nao wakapangika basi ccm sio ya mchezo mchezo,makamanda wanarubuniwa nao wanakubali hatari basi!!!
 
Uwezo wao wa kufikiri ni mdogo. Eti tumehamia ccm kumuunga raisi mkono. Ukiwa upinzani huwezi kumuunga raisi mkono?
 
kama walipangwa nao wakapangika basi ccm sio ya mchezo mchezo,makamanda wanarubuniwa nao wanakubali hatari basi!!!
Hujaelewa wewe....wale wote ni mijiCCM....imejifanya upinzani kumbe ni yenyewe....mi mbuzi ile .
 
Ila kwa ule umati wa watu nilioshuhudia arusha, Chadema mna kazi ya ziada
Siri ya mtungi haba, kuna uzi humu niliuoma mchana wafanyakazi walitishwa na kazi zao usipoenda umejifukuzisha kazi, pekenyua kuna uzi humu, watumishi wote wa serikali ilikuwa ni lazma waende
 
Leo mchana nimeshuhudia rais akiwakaribisha walioamia CCM.
Ingawa nasikitika shughuli za kiserekali zikichanganywa na za kivyama huku wengine wakifungiwa kufanya shughuli kama hizo....This is unfair...
Chakusikitika zaidi mi wale waliotangaza kuhamia CCM...
Binafsi nlikuwa nawasikiliza kwa makini..ndipo nlipogundua hawa jamaa walikuwa wamepangwa.
Kilichonifanya niamini hivyo ni baada ya kuona baadhi yao wakibabaika kutaja chama walipotoka
Mmoja alisema "Mimi nlikuwa (akataja cheo) wa chama cha CC...WA chama cha chadema".
Mwingine ndo alishindwa kabisa kugundua kama kakosea akazidi kuendelea hivyo hiyo kwamba " Mimi nlikuwa (akataja cheo) wa CCM, na Leo nimeamua kuhama na kuhamia CCM"

Kwa mwenyewe akili anagundua tu kuwa ni wafuasi wa CCM ndo maana limewakaa kinywani....

Niwashauri tu kuwa hivyo ni sawa na kujiibia mwenyewe kama c kujidanganya...
Hahahaha tulijua hamchelewi kuja na uzi wa kulia lia da na nyie wapangeni wenu acheni kulia lia ,,huu sio muda wa kulia lia wew pambana na hali yako
 
Si mlisema wameandika barua ya kurudi CHAGADEMA sasa nafikiri wamewathibitishia kuwa wamemkimbia Makengeza na Mamvi sasa mnawashwa washwa nini?

Hawawezi kwenda kwa wanaopekechwa na maplastic makalioni na mioyo ya mipira ya matairi
 
Back
Top Bottom