Zitto Kabwe: Who wanted to kill Tundu Lissu

HIVI KITILA MKUMBO YUKO WAPI? HATA POLE KWA LISSU TU HATAKI? HIVI KWELI PROF UMENYAMAZA KIASI HICHO KWA HAYA YALIYOMPATA MTANZANIA MWENZAKO NA ZAIDI SANA MWANA SINGIDA MWENZAKO! KISA TU TOFAUTI ZA KISIASA! KWELI PROF? TUKUELEWEJE PROF. KITILA?
Yuko busy anashughulikia suala la kuwapelekea Maji Simanjiro mkuu.
 
HIVI KITILA MKUMBO YUKO WAPI? HATA POLE KWA LISSU TU HATAKI? HIVI KWELI PROF UMENYAMAZA KIASI HICHO KWA HAYA YALIYOMPATA MTANZANIA MWENZAKO NA ZAIDI SANA MWANA SINGIDA MWENZAKO! KISA TU TOFAUTI ZA KISIASA! KWELI PROF? TUKUELEWEJE PROF. KITILA?
Hawezi thubutu kufungua mdomo huyo, anaogopa ngosha atamfurumisha
 
c0d9d124153df2e74b3aca0bf40e75b6.jpg
79285d96c27823261a55088eca23b5d2.jpg
Zitto asilazimishe kutumia lugha asiyoimudu vizuri au kama italazimu atafute editor. Hiyo article inahitaji ukarabati wa nguvu. Ni ushauri tu kutoka kwa Mshamba!
 
If he has credible evidence as to who the culprit is why does he perambulate? He should just produce the name/s of those who are behind the shooting; otherwise he is just seeking to harvest political approbation out of others' calamities.

From your comment, it appears that you are a learned fella. Humbly revisit what Zitto has written, the mission planner has been named openly. However, as to who executed the failed mission, it remains a mystery!
 
Here are the values that I stand for and I'll always believe in it, honesty, equality, kindness, compassion, treating people the way you want to be treated and helping those in need..by the time we are in the same boat with ZZK and I think my cry will be soon heard..thanks again!
 
THAT DUDE ALWAYS HITS WHERE IT HURTS THE MOST...and the killer isssssssssssssssssssssssssss....THE MAN HIM SELFFFFFFFFF..NONE OTHER THAN THE HEAVY WEIGHT COUNTRY MAN....ladies and gentlemen make a grand applaud to JOHNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNN PAMBANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA MAMUKULIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
 
Huenda sababu ya lugha

KATI YA NYUZI NZITOO NA ZINAZOTAKIWA KUCHANGIWA NA WENGI NI HUU,,,ILA SASA "NGELIIII...NGELI JAMANI"
NAPENDEKEZA MH. ZITTO AJE NA SWAHILI VERSION YA HII KITU...NCHI ITASIMAMA....UTAJENGWA UKUTA KUZUNGUKA NCHI NZIMA...swahili version of this will cause riots.
 
Thank you Hon. Zito Zuberi Kabwe for these thoughtful words...................I know for sure that no tyranny lasts for ever. It is the desire of the people to live free and that is the eternal power.

Our tyrant is just repeating the same cycle of mistake.

Je suis Lisu.
 
Jamani tuwe serious tusije kuonekana wote ni vilaza. Hivi kweli aliye zuia makinikia akizungukwa na ulinzi, huku akiacha dhahabu ikiendelea kusafirishwa (matokeo ya tatizo) na kuwa sehemu ya watengeneza matatizo (Ali support miswada kupitishwa), ni mzalendo kuliko yule alojitoa mhanga kupinga mikataba ya kinyonyaji enzi inasainiwa (mwanzo wa tatizo ) kama raia wa kawaida bila ulinzi wowote?


Sasa huyu mwingine kama ni mzalendo na si mpenda sifa tuambiwe kwanini

1. Kivuko kibovu
2.scandal nyumba za serikali
3. Malipo hewa ya makandarasi


Mie naona tunafanywa hatuna akili aisee.

Get well TL
 
Majibu ya maswali kuhusu walionyuma ya jaribio la kumuua TL yapo kwenye mistari miwili ya mwisho katika haya ya nane kwenye barua hiyo ya ZZK.
 
Hivi serikali hasa ni nani? maana muda mwingi nasikia kuwa ndiyo ilitaka kumuuwa Lissu ila ikashindikana,ina maana serikali ameshindwa kumuuwa Lissu.

Tumeona baadhi ya viongozi wa kiserikali ambao nao inasemekana waliuliwa na wengine waliwekewa sumu ila kwa bahati hawakufa,sasa najiuliza tunaposema serikali hasa tunamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom