Recent content by Bkisandu

  1. Bkisandu

    Natafuta mtu wa kupartner naye kwenye biashara ya milling machines.

    Hello esteemed partner. I believe hii thread itakupata ukiwa poa. Napatikana, Mbeya, and kama kichwa kilivyojieleza. Natafuta mwekezaji au mshiriki ambaye tutafanya pamoja biashara hii ya kuandaa na kuuza bidhaa za shamba baada ya kuzichakata. Kwa kuanzia. Tutaanza na unga wa sembe na Dona...
  2. Bkisandu

    Kilimo cha vitunguu maji

    Bei zikoje huko Kwa eka?
  3. Bkisandu

    Kilimo cha vitunguu maji

    Wapi huko wanako nunua Kwa kilo Tanzania hii..?
  4. Bkisandu

    Nahitaji container 40ft

    Call this number 0757323016
  5. Bkisandu

    Nina miaka 23 tu, lakini wanaotaka kunichumbia hawakatiki nyumbani. Nifanyeje kuwaepuka??

    Mtu ana jinsia mbili huyu how come?[emoji23] hemophilia
  6. Bkisandu

    Hivi ni lazima kiongozi kuwa mkali, mwenye kujisifu na mwenye mikwara kwa wananchi?

    Nafurahishwa na uongozi wa January Makamba. Itakuwa poa kama vip hizo wengi wakajifunza kutoka kwake.
  7. Bkisandu

    Waagizaji wa Magari sasa kupata magari yao bandarini ndani ya saa sita ifikapo 2020

    Hii misafara, na speed zao kali, inatuweka kwenye foleni masaa mengi bila kujali gharama tunazo poteza Kwa maana ya muda... Mtu 3 hrs upo barabarani, sababu tu unasubiri kiongozi fulani anapita. Muda mwingine najiuliza Gharama hizi tunazo tumia kuandaa hii misafara hazitoshi kukodia helicopter...
  8. Bkisandu

    Container for sale

    BERN'S FREIGHT SERVICE COMPANY Bern's Freight Service with our partnering company Harlos Company Introducing new service on our sales. SERVICE Do you need container. We do sell containers for different purposes; -storage -transport -conversion All this for you. We sell container of two kind...
  9. Bkisandu

    Jibuni hoja za msingi kuhusu sababu za Maandamano, tusiwatishie raia tuu hakutasaidia kitu

    What does figure say about our economy. Because I knw numbers don't lie.
  10. Bkisandu

    Polisi yakiri kupiga mtu risasi maandamano ya CHADEMA

    Hapa sio mbowe Huyu Binti alikuwa anatoka chuo. Kwenye daladala risasi ikampata.... Mbowe anausikaje hapo...?
  11. Bkisandu

    Kufilisika kwa mabenki Tanzania: Ni kukua au kuanguka kwa uchumi?

    Mwananchi mwenye Elimu yake ya kilimo cha Bamia, uchumi wewe kwako wa mambo ya mabenki wa nini..!? Ila umeeleza vizuri Sana. Wataalamu Wazidi kutupa nondo muhimu...
  12. Bkisandu

    Kufilisika kwa mabenki Tanzania: Ni kukua au kuanguka kwa uchumi?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  13. Bkisandu

    Bunju, Boko Traffic wapo, Tegeta kibaoni wapo, Makonde wapo, Mwenge wapo. Kama nchi imefilisika tuambieni

    Traffic Wamekuwa mamlaka ya ukusanyaji mapato na sio wasimamizi wa usalama wa barabarani.
  14. Bkisandu

    MAAJABU!!! Mdogo wa kiume wa Jokate ana miaka 30 lakini Jokate anamiaka chini ya 30 hahaha

    We ina kuhusu nn yeye kuwa na umri mkubwa au mdogo, watanzania mjifunze kumind your own businesses.......
Back
Top Bottom