Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,520
- 8,162
Sio kweli kwamba malipo mwisho ni 1.5m bila kujali kiasi gani unadai bali Madai kwa amana zinazozidi Shilingi 1,500,000/- Kwa mujibu wa Sheria ya Mabenki na Taasisi za Fedha ya mwaka 2006 watalipwa kwa utaratibu wa ufilisi na sio kwamba itakuwa ndio basi tena. Wenye akiba isiyozidi Milioni 1.5 wako ndani ya ukomo fidia ya bima ya amana ndio maana bodi ya bima ya amana wakasema watazilipa kama zilivyo bila kusubiri utaratibu mwingine.