Recent content by bkas

  1. B

    Natafuta partner kwenye kilimo

    Chezea kilimo ww Sent using Jamii Forums mobile app
  2. B

    Usafiri wa usiku

    Hahahaha kwel inabid amalizie aisee kilichofuata
  3. B

    Clouds hii ndo wanailinganisha na Wasafi ya Diamond?

    Mkuu yaaan unafananisha wasafi iliyoanzishwa mwaka jna katikati n inapatikana dar tu vs station iliyoanzishwa miaka kadhaaa iliyopita n imeweka misingi ya kutosha n inapatikana sehemu nying hapa tanzania...ebu kuwa serious au ni chuki binafsi??hao wasafi wapeni muda wa miaka kadhaa ndipo tuje...
  4. B

    TANGAZO: Demiss nimepewa Talaka 3 rasmi Leo!

    Nakupm faster nipo tegeta nije hapo faster
  5. B

    Rest In Peace, Dad

    Pole sna....mungu awe nawe pamoja na familia ktk kipind hiki kigumu
  6. B

    Usahili wa Johari Rotana

    Mmh ngoja tuulizie tuone kma tayar au bado
  7. B

    Fahamu makampuni ya kigeni pamoja na uwekezaji wake

    Ni kwel mkuu zimeporomoka sna...kaa mbali nazo kabisa
  8. B

    Biashara ya Simu na Laptop na changamoto zake

    Poa poa mkuu ahsante sna
  9. B

    Biashara ya Simu na Laptop na changamoto zake

    Imekaaje mkuu??vip mzigo huwa unachukua muda gan hadi kukufikia??kip bora kwenda china or kutumia alibaba??
  10. B

    Utapeli kwenye kilimo/ufugaji

    Nimekickia hicho chief naskia hatar sna watu wameliwa mno hapo
  11. B

    Utapeli kwenye kilimo/ufugaji

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sawa mkuu ila kaa mbali nao or hizo project wanakuwa n maneno manzur sna wakat wanachukua hela zako tu n kusepa....
  12. B

    Utapeli kwenye kilimo/ufugaji

    Yaan hicho ndicho ulichokiona tu mkuu hahahahaha
  13. B

    Utapeli kwenye kilimo/ufugaji

    Kumekuwa na wimbi wa vikampuni vinavyojihusisha n kilimo vikidai wanakulimia/kufuga huku ww ukitoa gharama zote za shughuli alafu kwenye mavumo mnakatana kwa percent mara nyiingi hufanya 25% kwao alafu 75% za kwako baada ya kutoa mtaji uliowekeza..hili ni wazo nzur sna ila huwa havifanyi hivyo...
Back
Top Bottom