Recent content by BJBM

  1. BJBM

    Nyie wachora ramani waongo sana

    Maji ukishayavulia nguo sharti uyaoge. Vuta pumzi uendelee ulipoishia.
  2. BJBM

    Hatari, nimeongea na Ex-Wangu, nimejisikia vizuri sana

    Mahawala hawaachani. Nyinyi mlipumzishana kwa muda tu, ikitokea mmeonana hilo penzi la zamani kuna mmoja wenu lazima ataliamsha. Kinachofuata sasa ni ndoa zenu wote wawili mnaziweka rehani. MWANAUME USIOE SINGLE MAZA labda uone kaburi au cheti cha kifo cha mzazi mwenza, tofauti na hapo jiandae...
  3. BJBM

    Naomba msaada dawa gani nitumie kuweka sawa ngozi yangu

    Zama hizi joto limeongezeka sana utafikiri majua yamekuwa mawili, moja la kukupiga utosi uchakae na jingine la kukuivisha ili mradi usiishi kwa amani. pole sana, next time upake sun screen sijui cream kabla hujaenda kujitosa juani.
  4. BJBM

    Kushika sana dini kunaweza kukupeleka kubaya. Rafiki yangu aliacha kazi ya Ualimu baada ya Mkuu wa Shule kumtaka anyoe ndevu

    Mwafrika kaletewa dini halafu kabadilika kawa mjuaji kuliko wenye dini yao ilipoanzia. Tungetawaliwa na mchina sasaivi sijui tungekuwa na dini gani?! Tungekuwa tunaitetea hiyo dini mpaka mishipa ya shingo inatutoka.
  5. BJBM

    Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

    Mtu mweusi na makazi yasiyopangika a.k.a slum nngumu sana kuvitenganisha.
  6. BJBM

    Ni muda muafaka Afrika Mashariki kuwa taifa moja lenye Rais mmoja na Serikali moja

    Waafrika na uroho wa madaraka, kila mmoja ataona hajatendewa haki kukikosa hiko kiti cha Uraisi. Wengine watagoma hata kutoa ada ya hiyo federation. Nafikiri waanze kutumia sarafu moja ndio waje na uraisi sasa.
  7. BJBM

    Rais wa nchi analipwa shilingi ngapi kwa mwezi?

    Hayati alisema mshahara wake alikuwa akilipwa milioni 9. Wakati huo huo katika moja ya hotuba zake akasema anamlipa mkurugenzi wa TRA milioni 15. Hapo ndio alinichanganya sana kwa sababu niliona kama hesabu imegoma kuhesabu. Yaani kijakazi analipwa pesa ndefu kuliko bosi.
  8. BJBM

    IGP Mstaafu Omary Mahita achechemea hapa msibani kwa Mwinyi

    Ni kitu cha kawaida mbona, ukizeeka mara nyinyi afya nayo lazima itetereke kwa asimilia kubwa. Nafikiri unachoshangaa hapa ni kwamba jamaa na ubabe wote huamini kama kazeeka. Kimsingi hamna cha ajabu.
  9. BJBM

    Natafuta Mke mnene

    Nyama nyama au sio!
  10. BJBM

    Je, inahitajika kibali kufungua ofisi ya kuchora ramani za nyumba?

    Wakimfuata basi ajue watakuja na mkeka wa faini.
  11. BJBM

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Acha kabisa 🔥🔥🔥🔥
  12. BJBM

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Halafu simu yako inatoa picha kali sana. Ni simu aina gani kama hutojali kusema?! Thanks inadvance.
  13. BJBM

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Hiyo ikipita lazima uache kila unachofanya uitazame kwanza mpaka ipite. Acha itupe chachu ya kuzisaka.
Back
Top Bottom