hiyo ni kawaida kabisa ndugu katika mazingiza haya ya kuganga njaa na inaelekea kuhalalishwa kuwa utaratibu fuatilia kuhusu mabomu ya mbagala na gongolamboto kuna watumishi walijikusanyia posho zaidi ya mil 17 na vitu mbali mbali ikiwa ni ujira wa wao kufanyakazi katika kuhudumia wahanga cha...
kuuliza si ujinga ni kutaka kufahamu
1.hivi post ya chairman wa nec lazima mtu awe mstaafu?
2. Hivi atuna young blood ambao wanaweza kufanya hiyo kazi?
Katika pekuapekua zangu inaonyea hii tabia ya wastaafu kuongezewa mikataba au kupewa ajira mpya ipo kwa kiasi kikubwa hapa kwetu ambayo...
Hapo kwenye Red ni Swali la msingi hilo.......Kwanza kabisa Kafulila alikuwa anachukulia poa kuwa hawataweza kumvua uanachama coz ya ubunge sasa lilipomfika ndo akaona kuwa ubunge ni kama ua lililoota kwenye chupa.Uhai wake unategemea uwepo wa chupa sasa alipovuliwa uanacha ndo akashtuka kumbe...
Binadamu wanapenda kusikia au kuambiwa mazuri tu na pindi anapoambiwa ukweli anamchukia mtoa ukweli.Magamba.com ni matokeo wa huu mfumo wa kutotaka kusema ukweli..............
ukomavu katika jambo lolote ni kusimamia ukweli daima, kama ulisema hili ni jembe na ukapewa adhabu kwa kusema hivyo...
Nashukuru sana Mkuu KombaJr.
Nilikuwa najaribu pia kucheki za wenzetu nimebahatika kupata za majirani zetu Kenya;ebu tuziangalia yawezeka ni nzuri lakini Je Tunazitekeleza au mipango yetu inareflect kwenye DIRA na Dhima zetu?
Our Vision Statement:
"A competent public service, for a...
prez 2b el nashuku kwa majibu yako japo hayajakidhi haja coz sitakikuhamini kama hatuna vision na mission na kama ni swala la kuunganisha hizo za wizara zote basi yaweza kuwa ndo sababu tuko hapa.sitashanga mkuu akiulizwa akasema hajui.
verse ya pili kutoka mwisho......serikali imeunda tume ya wataalam kuchunguza chanzo cha maafa haya,na kutushauri nini cha kufanya ili matatizo yasiweze kuleta madhara tena.katika kipindi hiki wananchi tuwe wavumilivu wakati tume ikifanyakazi....ripoti ya tume itasaidia kujenga hotuba ya rais ya...
pole sana mkuu,kwahiyo issue ni rubani wamegoma kurusha ndege,uwanja umefungwa kutokana na maji kujaa au marubani wameshindwa kufika airport kutokana na tatizo la usafiri kutoka makwao?hii ndiyo tanzania special. Kipindi cha nyuma maji yalikuwa yanajaa na kufunika barabara kuanzia superdol mpaka...
Kwa lugha nyepesi Hatuna "National Ideology" yaani ukiwachukua hata mawaziri watano kutoka wizara tofauti ukawauliza hivi tanzania tunaelekea wapi tegemea kupata majibu tofauti kabisa.nini wananchi wa kawaida huko tegemea kusikia mi CCM or CDM or simba or Yanga.
In 20 plus years back Malaysia...
Mwisho wa Ubaya Aibu, Malipo ni hapa hapa unafiki anaoufanya bungeni haya ndiyo majibu yake.Toka amekosa zile previllage za Ukuu wa kambi rasmi bungeni Hamad Rashid amekuwa akitapatapa kama kuku aliyekoswa kuchinjwa.
Mytake: Watapimwa kwa matendo yao...Wacha vyuma viumane sisi yetu Macho...CDM...
Vipi Kuhusu Mzee Malecela?inamaana vigezo alivyovitumia kikwete kuwapa mawaziri wakuu wastaafu yeye hana?
Mytake: Kama Kikwete alijua kwakuwapa Tuzo hizi wachache kungejenga na kuletamshikamano La hasha inaweza kuwa vinginevyo:Maji na mafuta vimeshaanza kujitenga!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.