Vision na Mission za Tanzania ni zipi?

Biz2geza

Senior Member
Oct 12, 2011
117
20
wadau naomba mwenye vision na mission ya tanzania atuwekee hapa jamvini tuone kama kweli zinatupeleka tunakotakiwa kwenda.
 
Hadi sasa hivi hakuna vision wala mision Tanzania tangu lilipo ondolewa Azimio la Arusha na kuwekwa Azmio la Zanzibar la kufisdi nchi
 
Vision ya mtanzania wa kweli: 'nitakula nini leo, nitapata wapi ada ya mtoto'
 
Vision:- ni hali zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi
Mission-: tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele
 
Tembelea web za kila wizara utaona mision na vision zake na kwa ujumla wake ndo vision ya nchi
prez 2b el nashuku kwa majibu yako japo hayajakidhi haja coz sitakikuhamini kama hatuna vision na mission na kama ni swala la kuunganisha hizo za wizara zote basi yaweza kuwa ndo sababu tuko hapa.sitashanga mkuu akiulizwa akasema hajui.
 
Hadi sasa hivi hakuna vision wala mision Tanzania tangu lilipo ondolewa Azimio la Arusha na kuwekwa Azmio la Zanzibar la kufisdi nchi

Hivi sasa tunaongozwa na Slogan: Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga mbele! It is very unfortunate!
 
hizi hapa mkuu
vission. Excellency in government service delivery and a competitive economy for sustainable development
mission. To coordinate and monitor the provision of effective government services across all sectors to build a competitive economy for sustainable development.
Nawasilisha jamvini tuzijadili bado zipo relevant na mahitaji ya sasa?
 
Nashukuru sana Mkuu KombaJr.

Nilikuwa najaribu pia kucheki za wenzetu nimebahatika kupata za majirani zetu Kenya;ebu tuziangalia yawezeka ni nzuri lakini Je Tunazitekeleza au mipango yetu inareflect kwenye DIRA na Dhima zetu?

Our Vision Statement:

"A competent public service, for a competitive and prosperous Kenya"

Our Mission Statement:
"To provide overall strategic policy leadership and direction for effective public service delivery for the prosperity of Kenyans"

Our Mandate:
"Organization and facilitation of Government business"

MYTAKE: Hii Vision na Mission yetu kwa taarifa zisizorasmi ni kwamba toka tumepata uhuru tumekuwa na Mipango mkakati miwili tu ambayo inamaanisha kuwa hata hizi vision na mission ndiyo hivyo na inaoneka hata hizi tulizonazo ilikuwa ni shinikizo la donnor kuwa lazima tuwe na vision na mission na ndiyo maana utekelezaji wake unakuwa mgumu.

"Tanzania People first, Perfomance Now"
 
nimetembelea website ya waziri mkuu nimeona mission &vision kama zivyojajwa hapa

vission. Excellency in government service delivery and a competitive economy for sustainable development
mission. To coordinate and monitor the provision of effective government services across all sectors to build a competitive economy for sustainable development.

Lakini hakuna maelezo ya tutazikiaje? kitu ambacho kinaweza kutafsiriwa kama ni maneno matupu hayawezi kuvunja mfupa(kuleta tija)
 
Back
Top Bottom