Recent content by BITTY NGUZO

  1. BITTY NGUZO

    Juma Nkamia: JamiiForums inachafua na kuwagawa Watanzania

    Anatafuta umaharufu tuu hana jipya huyo:yell::nod::heh:
  2. BITTY NGUZO

    TANZIA: Dr. Ferdinand Masau wa Tanzania Heart Institue afariki dunia

    RIP Dr, Alikuwa mzalendo wa kweli katika kulitumikia taifa lake,lakini bahati haikuwa kwake duu... Daimatutakukumbuka
  3. BITTY NGUZO

    Waziri; TANESCO imeshindwa.....

    bora watanzania tuutue mzigo huo
  4. BITTY NGUZO

    Loveness Love 'Diva', Prezzo na Boss Lady huda - Kimenuka!

    Hueleweki wewe,wapi katoswa?:yell:
  5. BITTY NGUZO

    Mh. Magufuli aleta mwarobaini wa foleni Dar

    Ni ahadi za siku zote,kuondoa tatizo la foleni dar ni ndito.Unaanza kujenga barabara za juu wakati za vumbi zinakushinda?mungu ibariki tanzania
  6. BITTY NGUZO

    Mh. Said Amour Arfi: "Ujasiri" 'ni kuishauri na kuisimamia Serikali'

    Ameonesha umakini wake na nafasi ya mbunge,nilifurahi sana kusikia majibu mazuri aliyo yatoa
  7. BITTY NGUZO

    Nauza gari

    Hujui kufanya biashara wewe
  8. BITTY NGUZO

    Yupo wapi kada maarufu wa CCM Nicodemus Banduka?

    yupo upareni analima.ila lile lilikuwa jembe sana alikuwa na uwezo wa kipekee wa kusukuma maendeleo
  9. BITTY NGUZO

    Karibu Prof. Mama Anna Tibaijuka ndani ya JamiiForums!

    karibi sana Prof.Tibaijuka
  10. BITTY NGUZO

    'Makahaba' walalamikia polisi

    Huyu kamanda anatakiwa akajifunze kwa mwenzake wa Temeke,nadhani hajui sheria za nchi
  11. BITTY NGUZO

    Kimenuka Liwale, mabomu kwa kwenda mbele! Nyumba kadhaa zachomwa moto...

    Tatizo hilo lishughulikiwe haraka
  12. BITTY NGUZO

    Nini Dawa ya Ushoga?

    pole sana mungu atakusaidia apone mwanao,ushauri mpeleke hosptal mapema wakamsafishe
  13. BITTY NGUZO

    Mtoto wa Magufuli (Jesca) afeli form four

    sio safi kutoa siri za wanafunzi
Back
Top Bottom