Recent content by bitaly athumani

  1. bitaly athumani

    JamiiForums Tanzania Kushuka kwa thamani ya Shilingi: Serikali kupitia BoT yatoa ufafanuzi, yaitupia lawama Bloomberg

    Ukweli ni kama moshi huwezi kuuficha, ni muda tu tutaelewa vyema.
  2. bitaly athumani

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA inachangisha hela ya matibabu ya Lissu?

    Mbona unaongea kama umetoka usingizini! Ulimsikiliza vizuri mbowe? Alisema hivi kilichowasukuma kwenda Nairobi sio kufuata ubora wa wataalamu hapana bali usalama na hofu ya watesi wao, kwakuwa tukio lenyewe limewaogopesha sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. bitaly athumani

    JamiiForums Tanzania SAKATA la Bombadier: Tundu Lissu ni mmoja wa samaki wadogo. Atutajie zile kubwa

    Sijakuelewa vizuri inamaana kukaa kimya bila kutangaza deni la Taifa ndo uzalendo? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. bitaly athumani

    JamiiForums Tanzania Soko la Sido laungua moto jijini Mbeya

    Naona moshi hataree kutoka sido. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. bitaly athumani

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    JAMANI NASHANGAA SIJAONA HATA MMOJA ANAYETAKA KWENDA SHINYANGA.
  6. bitaly athumani

    JamiiForums Tanzania Sababu tano za kufa kwa Bongo movie

    Kilaza asaidie kilaza ngoja tuone.
  7. bitaly athumani

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Paul Makonda ahudhuria Ibada KKKT Kimara; hataruhusu Dar kuwa lango la Madawa

    Hivi maombi yakizidi si kuna uwezekano vyeti original vikatokea naota lakini.
  8. bitaly athumani

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa anaweza kumfukuza mtu kwenye mkoa wake, kwanini Gwajima hafukuzwi?

    Kumbe namba za simu zote zinaanza na Bashite kisha namba zingine zinafuata mfano bashite754 bashite789bashitebashite=0754078900. Hiyo nimeiona kwenye clip moja youtube.
  9. bitaly athumani

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Mwanafunzi akipata mimba mzazi jela miaka 30

    Kwahiyo ukiwa na watoto wa kike saba wote kwa bahati mbaya wapate ujauzito kila wanapokua mzazi atakuwa anatolewa jela kuhukumiwa upya au atazidishiwa miaka mara saba?
  10. bitaly athumani

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Kikatiba: Makonda, Sirro na Wambura wakataa kupokea wito wa Mahakama 'summons'

    Hii movie itakuwa isidingo 2, haitaisha hadi kizazi cha mwisho yangu macho plus masikio.
  11. bitaly athumani

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya tano inatutenda vibaya watumishi wa umma

    Kweli unachokidai ni haki ya msingi kabisa lkn kuna watu bado uelewa wao uko mashakani sana kwa mfano huyo aliyesema acha sindano iwaingie yeye anaraha gani kuona kiwango cha elimu kikishuka kila kukicha,pia afikirie kwamba hakuna mtaalamu wa serikali ambaye hakupitia shuleni mfano mzuri...
  12. bitaly athumani

    JamiiForums Tanzania Jibu hesabu yangu, wengi mtafeli hapo

    Kwakuwa 5+5=30 hivyo 9+9=90
  13. bitaly athumani

    JamiiForums Tanzania Mh sumaye pesa zote ulizotuibia ulizipeleka wap

    Heri yake katoa hata kiasi hicho vp kuhusu yule jamaa yeye katoa kiasi gani?
  14. bitaly athumani

    JamiiForums Tanzania MCT, LHRC, THRDC Watinga Mahakama ya EACJ kupinga sheria ya huduma za vyombo vya habari

    Na huku nako washindwe tena watakuwa na matumizi mabaya ya rasilimali fedha.
Back
Top Bottom