Recent content by BISHANGA AM

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mkaa na Mbao

    Ni mbao nzuri sana zinafaa kwa frem na Ferniture...Nachana 2×10 kwa urefu wa futi 12.....lakini pia nachana kulingana na mteja anavyohitaji.. Nachana Mbao za mti wa MTONDOO na MKURUNGU
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mkaa na Mbao

    Niko Dar..
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mkaa na Mbao

    Habari ndugu zangu, Natafuta Masoko ya Mkaa na Mbao...Na bei zikoje. Nachana mbao za mti wa Mtondoo na Mkurungu kwa saizi zote kulingana na mahitaji ya mteja. Nina uwezo wa kusuply gunia 200 hadi 300 kwa mwezi za mkaa...Nina vibali vyote vya wakala wa misitu (TFS) Nasikia pia kuna soko la...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji viti vya plastiki used kuanzia 100

    Nahitaji kununua viti vya plastiki used vyenye hali nzuri, kuanzia viti 100. Tuwasiliane - 0682763318
  5. B

    JamiiForums Tanzania Biashara gani zinazoingiza mamilioni kwa muda mfupi?

    Jamani natafuta kununua viti vya plastiki used..vyenye hali nzuri...0682763318
  6. B

    JamiiForums Tanzania University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

    MSAADA. Anayejua makampuni/Mashirika yanayotoa ufadhili wa vyuo vikuu hapa Nchini
  7. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Makampuni/Mashirika yanayotoa Ufadhili wa masomo vyuo vikuu

    Habari wanajukwaa, Naomba msaada juu ya Mashirika au kampuni zinazotoa ufadhili wa masomo elimu ya juu hasa lengo langu ni MBA. Nitashukuru sana.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Makampuni/Mashirika yanayotoa Ufadhili wa masomo vyuo vikuu

    Habari wanajukwaa, Naomba msaada wa Makampuni/Mashirika yanayotoa Ufadhili wa Masomo vyuo vikuu hapa Nchini Tanzania.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Wadau,Natumai mko salama...lakini pia niwashukuru kwa ushirikiano mzuri wa ushauri na elimu.... Mbali na hilo najua kuwa mwaka huu bei ya ufuta sio rafiki.....Je kuna mdau anayefahamu kampuni ama wanunuzi wa ufuta angalau wenye bei nzuri ukiacha hizi za mnada? Nina takribani gunia 70... Ama je...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Niko mkoa wa Katavi,Wilaya ya Mpanda,kijiji cha Stalike...Nimelima heka 30...Namalizia kuvuna Sent using Jamii Forums mobile app
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    Jamani habari za humu ndani... Naomba msaada wa kujua bei ya ufuta na makampuni makubwa yanayonunua ufuta kwa bei nzuri. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Jamani habari za humu ndani... Naomba msaada wa kujua bei ya ufuta ama makampuni makubwa yanayonunua ufuta kwa bei nzuri. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ufadhili wa Masomo

    Habari wakuu.Naomba msaada,Ushauri wa namna ya kupata Ufadhili wa masomo..Nimepata admission ya kujiunga na Chuo kikuu cha Dar es Salaam fani ya Master of Business Administration inayoanza mwezi huu Novembeter 2018..Hali ya uchumi kifedha imekuwa ngumu kumudu masomo hayo.Naomba msaada wa Ushauri...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta wafadhili wa Masmo

    Habari zenu ndugu zangu..Naomba ushauri,Mawazo,Msaada wa namna ya kupata ufadhili wa masomo...Nimepata admission ya kujiunga na Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa fani ya Master of Business Administration - MBA) inayoanza mwezi huu November.Hali ya fedha imekuwa ngumu kumudu masomo...Wakuu...
Back
Top Bottom