Recent content by BISECKO

  1. B

    Juma Nature akataa kushiriki Wasafi Festival kisa malipo kidogo ya laki tano

    Kimuziki, Juma nature ana thamani zaidi ya laki tano ila kibiashara ya muziki sioni akizidi laki tano. Ni vyema tukatofautisha, kati ya Nature na hadhi ya yake ya ukongwe na uwezo wake wa kale dhidi ya hitaji la biashara ya muziki wa Sasa.
  2. B

    Kuna anayemwelewa Salim Kikeke na 'Mizururo' yake Holela ya hapa na pale Dar es Salaam na Mikoani?

    Sasa suala la kufuga ama kutokufuga ndevu nalo linahitaji ushauri?
  3. B

    Truth be told never judge anybody who is not interested in marriage: Exposing the world to life realities.

    Nafikiri tusubiri muda utaongea, naubgana na wewe, yumkini muda utafika atabadili mtazamo...
  4. B

    Kwenye mahusiano wanaume wanapoteza zaidi kuliko wanawake

    A risk should be very calculated, take a greatest risk at a greatest profit.
  5. B

    Inakuaje unachunguza simu ya mumeo?

    Kadri unavyoweka ugumu wa mpenzi wako kuchepuka ndivyo unavyoongeza utamu, ubunifu na ladha ya yeye kuchepuka na mchepuko wake. Imarisha penzi lako, ndo njia ya kudhoofisha mchepuko wao, maana kadri penzi lako linavyozidi imarika, mchepuko wao unazidi dhoofika.
  6. B

    Inakuaje unachunguza simu ya mumeo?

    Waweza kutaka 'ku prove' Kwa kagua simu ila tahadhari kuna mambo haya mawili; 1. Ukikagau na ukakosa ushahidi wa kumkuta na hatia na akagundua umekagua basi hatia itakuja kwako kwa kugagua maana ni ishara ya kwamba humuamini ama unamtafutia sababu, kibaya zaidi sababu yenyewe hujaipata...
  7. B

    Inakuaje unachunguza simu ya mumeo?

    Kumilikisha sehemu za Siri isikupe ujasiri, ukadhani unamiliki maisha yake yote Mara nyingi, anayekagua si kwamba anataka kujua asichojua kuhusu mwenza wake bali anataka thibitisha aliwazalo juu ya mwenza wake.
  8. B

    Jana mara yangu ya kwanza kwenda kazini na hirizi

    Yaani ulikuwa na shida na bado ukachagua shida zaidi ili uje kupata nini?? raha?
  9. B

    Umiliki wa mali kabla ya ndoa na katika maisha ya ndoa

    Hivi pre nuptial agreements inaweza kuwa enforced ktk sheria zetu? Yaani ktk mfumo wetu huu wa sheria, kweli pre nuptial unawezaje enforce? Kwa baadhi ya jurisdictions nyingine za wenzetu hiki kitu kinawezekana ila kwetu bado nna mashaka. Naomba msingi wa kisheria ktk hili.
  10. B

    Kifo cha ghafla cha Mfugale sawa na Prof. Chachage: Kuna viashiria vyote vya kupewa sumu. Serikali ichunguze

    Kwamba postmortem, yaani uchunguzi wa ripoti ya kitabibu juu ya chanzo cha kifo ambapo hufanywa na madaktari hautoshi? Kwani haukufanywa?? Kama umefanywa je unasemaje?
  11. B

    An Honest Experience on Big Butts

    What the eyes does not admire, the heart does desire, what's not good for you it's best to another person. It's all about choices, big are for those who can handle what is labelled heavy for you.... Let those darlings of "thick thick" go for it, just like those of "thick thin"
  12. B

    Ndoa ya Bomani na ndoa ya kidini

    Yenyewe inaweza ikasijiliwa ikawa na cheti pia yes....
  13. B

    Ndoa ya Bomani na ndoa ya kidini

    Ndoa ya kimila inafungwa kufuata mila na desturi husika ina hadhi kama ndoa ya kiserikali yaani ya bomani.
  14. B

    Ndoa ya Bomani na ndoa ya kidini

    Yote kwa yote, kufunga ndoa nyingine hakubatilishi ama kuvunja ndoa ya awali, kinachovunja ndoa ni talaka tu inayotolewa na mahakama.
  15. B

    Mfahamu Lupakisyo Kapange aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bariadi

    Kichwa cha habari kikisomwa kwa usahihi ni kama vile msomaji atamfahamu baada ya kusoma andiko hili, maana kinasema, "MFAHAMU..." ilihali mwandishi hana taarifa ya kutosha kumfahamisha msomaji, sasa kama ungetaka uzi huu uwe na tija, kichwa kingekuwa, " JE WAMFAHAMU....? ili wanaomfahamu walete...
Back
Top Bottom