huwezi kujiajili bila kuanza kuajiliwa, hiyo laki moja unayosema nani atakupa ndugu?hata bank atakukopesha nani wakati huna hata dhamana?mtu ndo umemaliza chuo huna kazi wala chochote, utaazeje kufungua tuition centre wakati hata hela ya pango huna? mambo siyo rahisi kama unavyosema unless upate...
acha kuwafanya watu hawana akili heshimu mawazo ya watu sio kujiona wew ndo unaakili, na kwa taarifa yako mawazo waliyotoa wachangiaji wengine yanafit mahali popote na mkoa wowote pia na hali ya hewa yoyote,hebu nibishie kama biashara ya kufuga samaki inachagua mazingira au ?
fanya biashara ya kufuga samaki,unahitaji nyumba yenye fensi, na kuchimba vidimbwi vya futi 3 ,vidimbwi kumi ,chakula cha samaki na kuwanunua samaki kadhaa,kwa maelezo zaidi tafuta kwenye google
Wanajamii tukubali au tukatae ukweli unabaki palepale mungu alivyotuumba hakutuacha binadamu tuishi kama mifugo ambayo haina wa kuichunga.
Tatizo tumemwacha mungu tumeamua kuishi maisha machafu ya dhambi ndiyo maana vilio kila siku haviishi mara huyu kaachwa na mume wake na huyu na mchumba wake...
tutoke africa mashariki kwasababu ya kagame ambaye pia alitukuta tukamkaribisha alafu eti tumuachie hiyo haijakaa sawa kabisa huyu akituchokoza anakungung'utwa tu na JWTZ rais wetu alisema maamuzi yoyote mabaya kuchukuliwa na tanzania yatakuwa ya mwisho baada ya nchi zote kutoa maamuzi yao,huyu...
kichwa chako sina uhakika kama kinafanya kazi vizuri,yani akili yako yooooooooooooooooooooooooooote imefikilia ikakosa majibu kwamba hutakiwi kumeza wala kunywa coz huo ni uchafu na laana mjinga wew angalia sana uko hatarini wezako tunakunywa maziwa ya ng'ombe wewe unakunya huo ujinga,ukipata...
unatudanganya tena ni muongo labda uwe mgonjwa nitakubaliana na wew asilimia kadhaa watu nyege zinapanda mpaka wanataka kupiga kelele alafu wew unasema haba mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh acha kutudanganya wewe umetomba na naomba mabinti huyo asiwadanganyee fyo fyo cjawah.........
hakikisha anakula chakula na anashiba alafu usimpe chips,mpe ugali au wali maharage au ugali maini ,pia unaweza ongeza karanga ,supu ya pweza n.k utatombwa wewe balaa hatutakusikia ukilalamika j forum tena.:smile-big:
mi sina pesa kubwa ya kuchangia ila ninauzoefu nimeshafanya sana kazi kwenye microfinance na hata mimi pia nimeshafungua tatizo kaka ni pesa kwani market yake ni kubwa hakuna maelezo watu wanaohitaji mikopo ni wengi ila we can do something contact kahisekijana@gmail.com
:shock::shock:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.