Recent content by Biro

  1. B

    JamiiForums Tanzania Je, mmewahi kujiuliza hili?

    Mambo sasa yanabadirika. Si umeona city wameanza. Watawanunua mastaa kibao hata makocha na wataipiku la liga kwa ushindani.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Je, mmewahi kujiuliza hili?

    Lakini unakumbuka kikosi unachokiita kikali cha barcelona cha 2011 ndo kilichopigwa na chelsea nusu fainali UEFA 2011/2012? Mbele ya messi?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Je, mmewahi kujiuliza hili?

    Kwanini hao matajiri wasiende kuwekeza huko la liga? Au kwa nn hzo promo zisipigwe huko laliga?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Huwa unapata maswaiba gani uwapo ndani ya ndege ipitapo juu ya bahari ikiwa kwenye 900km/hr na elevation ya 10 km?

    Maini yanayocheza ni yale uliyokula au maini yako.?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS: Rais Magufuli atengue uteuzi wa Makonda kabla hajazidi kuchafua taswira ya Serikali

    Una uhakika TL ndo kaongea hayo mpaka kusema kuwa hana uhakika?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Je, Una Kipaji cha Utangazaji? Jinsi ya Kujiajiri Utayarishaji na Utangazaji Vipindi Vyako vya TV

    We sasa unaleta utani..teh teh teh...ila umeonesha kipaji..kuelimisha na ku entertain kwa joke kidogo.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Msumbiji inafahamu Tanzania ina Wasumbiji haramu wangapi?

    Unadhani[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] ....ukitaka kujua hilo ifanyike operation.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamilisha taratibu za kugombea urais wa TLS

    TLC ni kitu gani?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kingo za garden zinatandikwa jiji lote la Dar, hongera jiji!

    Duh...hapo umekuwa mkali sana akamtandike mzazi tena? Bora ungesema atandikwe yeye kwanza.[emoji4] [emoji4]
  10. B

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kumpa mimba mwanafunzi wa chuo!

    Kamharibia au kamtengenezea maisha? Watu wanatafuta mimba mpaka kwa waganga wa kienyeji hapo mzazi anatakiwa atoe pongeza na zawadi.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma kuhusiana na upotoshaji wa elimu mshindi wa miss Tanzania

    Ungemtafuta alofaulu form 4 ili akashiriki miss tz
  12. B

    JamiiForums Tanzania Anguko la Mabenki nchini? CRDB yapata hasara ya Sh. Bilioni 2

    Sijawahi kusikia CRDB ikiwa na operations Rwanda na kimsingi hazipo. Ungefanya utafiti kidogo.
Back
Top Bottom