Recent content by Birdman

  1. Birdman

    JamiiForums Tanzania Rich Gang ndiye kiboko ya Lil Wayne

    In short, ndio hivyo. Sasa mkuu wa wote hao ni Birdman.
  2. Birdman

    JamiiForums Tanzania Rich Gang ndiye kiboko ya Lil Wayne

    Rich Gang ni jina la Project yenye compilations kadhaa za kikundi. Birdman ni muasisi wa 'family' - kikundi. Jina la kikundi ni YMCMB ambacho ndani yake kuna CMB label. Lil Wayne ndiye mmiliki wa CMB label ambayo pia hufanya kazi zake chini ya Birdman - CEO wa YMCMB. Nicki Minaj, Drake, Future...
  3. Birdman

    JamiiForums Tanzania Bsc. Food Science and Technology

    Basi huyo demu wako hataki tu kuajiriwa. Ama ana ulimi mzito kwenye interviews.
  4. Birdman

    JamiiForums Tanzania Bsc. Food Science and Technology

    Si hivyo tu, hawalipwi hela ya manati - walio wengi wako vizuri sana.
  5. Birdman

    JamiiForums Tanzania Bsc. Food Science and Technology

    Ulishawahi kufanya utafiti kuhusu soko la Food & Beverage Managers katika mahoteli na makampuni ya kitalii, ama food standards inspectors???
  6. Birdman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyanje kujua mtoto ni wangu bila kufanya DNA?

    Lol.....aisee hiyo kali ya mwaka hahahaaa
  7. Birdman

    JamiiForums Tanzania Habari za hivi punde /breaking newz

    Aiseeee
  8. Birdman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Kill all negative people around you", I will be your lawyer at the court

    lara 1 Loving this. Negative people wanatia stress!
  9. Birdman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tuache tabia ya kuwaachia kila kazi wafanyakazi

    Hivi ndivyo familia nyingi zinavyoendeshwa, mpaka mume anapoamua KUWA SERIOUS na kujua majukumu ya mkewe. Nyote mnaoponda hapa either hamjaoa ama bado hamjajaribiwa. Wanawake WOTE lazima wafanye majaribio ya kutest seriousness ya dingi, kama goigoi (too polite, diplomatic....) wanaendeleza...
  10. Birdman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa wadada kutokujua kupika

    Fikra potofu.
  11. Birdman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba mimi ni mume

    Mimi natafuta nyumba ndogo. Uwe unajua kupiga ugali wa muhogo na usiwe mvivu wa kutwanga nafaka kwenye kinu. Serious bizness...
  12. Birdman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maadili ya ndoa yamepungua, wanaume hatuna raha

    Na hapo sasa Lolipop, kwenye tatizo hilo mpaka unamwita mkuu wa kaya yako zuzu, jamii ikuchukulie wewe kama mwanamke mwadilifu anayeheshimu misingi na maadili, dini pia - pamoja na wafuasi wako wote watakaokuwekea "likes" na kuandika majibu ya kishangingi? Na hiyo sumu ya mtizamo na attitude...
  13. Birdman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maadili ya ndoa yamepungua, wanaume hatuna raha

    happy amos hapo ndio umesema nini sasa. Hebu soma ulivyoandika mwenyewe hapo kisha jiulize kama kweli ulikuwa serious.
  14. Birdman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maadili ya ndoa yamepungua, wanaume hatuna raha

    Ndio, lakini kuku na yai mmoja alitangulia. Misingi ya maadili na asili bado inabaki pale pale. Hiyo ilikewepo kabla ya uchumi na itaendelea kuwapo. Heshima na majukumu havina uhusiano na kutafuta. Hata hivyo, nilisema pia kwamba kipatikane cha kutafutie vingine - miradi - ili kujikimu, sio...
  15. Birdman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maadili ya ndoa yamepungua, wanaume hatuna raha

    Either hiyo ama kuweka wazi suala la wasaidizi incase mke ameshindwa kazi. lwe wazi kabisa! Kama terms za probation kazini.
Back
Top Bottom