Birdman
Member
- Oct 31, 2012
- 79
- 24
- Thread starter
- #41
Bwana wanaume wengine mazuzu, hawajui majukumu yao kama kichwa cha nyumba. E.g. M.i.n.e
Na hapo sasa Lolipop, kwenye tatizo hilo mpaka unamwita mkuu wa kaya yako zuzu, jamii ikuchukulie wewe kama mwanamke mwadilifu anayeheshimu misingi na maadili, dini pia - pamoja na wafuasi wako wote watakaokuwekea "likes" na kuandika majibu ya kishangingi? Na hiyo sumu ya mtizamo na attitude potofu utaacha kuwapandikizia wanao kweli?? Kizazi kitakachotokana na fikra yako kitakuwa cha wafuasi wa nyoka ama nyota??? Na unafikiri huyo bwana anaishi kwa amani kweli?? Na je, JUKUMU LAKO KATIKA KAYA YENU NI LIPI?? Nenda kakae utafakari.