Recent content by binti mkupasi

  1. B

    Rais Magufuli amemteua Dk. Elirehema Doriye, kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC)

    Hahahahaha... tumenunua sana hisa virtually.... huyu Jamaa bhana.. dah!! Ila hongera kwake!!
  2. B

    Natafuta mume mwenye umri wa miaka 30 hadi 37

    Roho ngumu inahusikaje hapo mkuu!?? Yeye kataka mwenye hali kama yake.. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. B

    Ila wanawake mna dhambi wakati mwingine

    Bro.. umesema umeshuhudia kwa rafikia yako... means na wewe ulikuwepo... sasa mbona hukutoa msaada!?? Au wewe ndo ulikuwa rafiki wa GF.. Sorry lakini.. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. B

    Msaada wa nyimbo za kwaya hizi

    Sijazikuta...
  5. B

    Msaada wa nyimbo za kwaya hizi

    Kwanza naomba mods msiuunganishe huu uzi na uzi mwingine wowote. Maana kwa kufanya hivyo, ntashindwa kuzipata hizi nyimbo. Kuna kwaya fulani inaitwa Nioth Prophetical Singers, hawa wana Albam inayojulikana kwa jina la "Unangoja nini", humo ndani kuna huu wimbo unaitwa "Mapambazuko" mwenye nao...
  6. B

    Kitambaa cha kijani katika utengenezaji wa movies

    Kwa kuongezea... Hizi screen zinakusaidia wewe ku command kwa urahisi.. Yaani utasema hivi: kwenye kila rangi ya kijana nataka patokee picha ya beach, basi kila ukijana utakuwa replaced na beach.. Na ndo maana hutakiwa kuvaa nguo ambayo inafanana na screen yako, maana vinginevyo hadi wewe...
  7. B

    Nahitaji Tv flat screen

    Habari wakuu.. Nahitaji flat screen ambayo haijatumika sana. Budget yangu ni Tshs. 150,000/= Kama utapendezwa na offer yangu, basi tuwasiliane inbox. Ahsante.
  8. B

    Binary Options Trading

    Habari.. Nimekuwa mfuatiliaji mkubwa sana wa mambo ya forex trading, lakini kwa upande wangu nikaona ni ngumu kumeza. Nikaamua kugeukia upande wa pili wa pili wa Binary Options trading, hii kidogo kwangu imekuwa nafuu. Hivyo basi, naomba kama kuna mtu yuko vizuri kwenye hii trade aweke some...
  9. B

    Msaada wa mtu anayeweza kutengeneza sabuni za kuogoe

    Naomba Mods nisaidie kurekebisha kichwa cha habari, ni sabuni za kuogea
  10. B

    Msaada wa mtu anayeweza kutengeneza sabuni za kuogoe

    Habari wana Jukwaa. Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza sabuni za kuogea za mche. Kama unaweza au una mfahamu mtu ajuaye tafadhali niunganishe naye. Kuna rafiki yangu ana uhitaji sana, Pia waweza kuwasiliana naye kwa namba hizi: 0656142433 Ahsante.
  11. B

    Hp elitebook 8460p inauzwa

    Ni inbox mkuu
  12. B

    Nahitaji Laptop

    My budget is fixed
  13. B

    Nahitaji Laptop

    Habari! Nahitaji laptop yenye sifa hizi: Ram >3gb HDD >320gb Processor i3 Inakaa na chaji.. Isiwe used kwa mda Mrefu.. Bajeti yangu ni 300k.. If interested, Karibu PM
Back
Top Bottom