Nahitaji Tv flat screen

binti mkupasi

Member
Jan 9, 2016
25
95
Habari wakuu..

Nahitaji flat screen ambayo haijatumika sana.

Budget yangu ni Tshs. 150,000/=
Kama utapendezwa na offer yangu, basi tuwasiliane inbox.

Ahsante.
 

Chabo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
837
500
Nadhani hamjamuelewa,huyu anahitaji flat screen yeyote hata zile zenye kichogo lkn iwe ni flat screen na ukubwa hata inch 13 poa tu.
 

don g dou

Member
Jul 6, 2017
72
95
ninayo aborder inch 21 Leta 170000
 

Attachments

 • TV a.JPG
  File size
  113.9 KB
  Views
  63
 • TV b.JPG
  File size
  135.2 KB
  Views
  56

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom