Recent content by Binti Kagundo

  1. Binti Kagundo

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Azam Tv, Fatna Ramole apatikana baada ya kupotea kwa saa 48

    Amepatikana. Mungu ni mwema. Asanteni
  2. Binti Kagundo

    JamiiForums Tanzania Kutokujiamini ni janga la wanaume Bongoland

    Ni kweli kabisa masai dada. Kutokujiamini kwenye mahusiano kwa wanaume wengi ni shida.
  3. Binti Kagundo

    JamiiForums Tanzania Aisee...Kwangu! Mwanamke ni Sura Nzuri na Figure bomba Baasiiii...

    Mimi naomba kuwa na umbo la mnazi japo nakubaliana na wewe . Kweli tupu.
  4. Binti Kagundo

    JamiiForums Tanzania Nimeoa, mke wangu amekuwa jeuri na kiburi mpaka nachanganyikiwa; natamani kuvunja ndoa!

    Lukolo ametisha! Nice move. Hii itaweza kusaidia.
  5. Binti Kagundo

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane watu wa Tabora-Mboka Manyema

    Namkumbuka Subi Subi Rosh nimemuona last time nilipokwenda. Duh umenikumbusha mbali. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  6. Binti Kagundo

    JamiiForums Tanzania Tupia majina ya utani ya mademu vicheche mtaani kwenu.

    TIGO RUSHA! Linanifaa au unasemaje? Kama hujalipenda chagua jingine ruksa. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  7. Binti Kagundo

    JamiiForums Tanzania Tupia majina ya utani ya mademu vicheche mtaani kwenu.

    Kina mama oyeeeee, tuko juu! Duh haya yote majina yetu??? Haya endeleeni..........lete vitu. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  8. Binti Kagundo

    JamiiForums Tanzania Men are so complicated, so confusing...

    Crystal clear truth! Boflo. Natamani niiforward dunia nzima maana its an internatonal issue. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  9. Binti Kagundo

    JamiiForums Tanzania Hili neno, “Mwanaume ni kichwa cha nyumba” huwapa kibri sana hawa viumbe

    Vukani I second you! hii ni kweli kabisa misemo kama hii ni vuruga nyumba tu. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  10. Binti Kagundo

    JamiiForums Tanzania pita hapa

    Magogoni iwe kati list ya chaguo lako Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  11. Binti Kagundo

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Asilimia 26.5 wanawake hufanya mapenzi kinyume na maumbile

    Yaani mimi hichi kitu kinanisumbua kisaikolijia ninapojaribu kufikiria. Kwanini mtu unaamua kufanya hivi pesa? Tamaa?kuridhisha mwenzio au? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  12. Binti Kagundo

    JamiiForums Tanzania Namtafuta mtu anayetembea na mke wangu

    Pole mwaya, na mimi namtafuta anaenichukulia mume! picha yake ndio naichora nitatuma. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Back
Top Bottom