Recent content by Bint

  1. B

    JamiiForums Tanzania Wajue kina kaka wa Kinigeria wanaotikisa ktk ulimwengu wa movie-Nollwood

    tuwekee na emeka ike
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wadada wa Kitanzania wanaotamba katika filamu

    jamani mbona mmeibaka hii thread!!!!!:rolleyes:
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanayotendeka kwenye fungate(Honeymoon) unayajua?

    Kwakweli honeymoon yangu ilikuwa super sana maana ilikuwa hnymoon ya kiukweli kila kitu kipya..hata wiki ilionekana haitoshi..
  4. B

    JamiiForums Tanzania Siasa na Vitimbi vya Kombe la Dunia Lilipotua Bongo!!

    Mimi niliona kwenye tv. mheshimiwa alimpelekea mkewe alipolishika tu huyo mzungu hapo kulia akamfuata akamwambia no no kwa ishara ya mkono mama wa kwanza akaliachia
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jina la mtoto...

    Kumpa mtu jina la mzazi ndio ni heshima ila mara nyingi tabia huambatana na jina kama mtu amepewa sababu ya fulani. Na hilo la tamthilia pia siliafiki, wakae chini watafute jina watakalokubaliana pamoja bila kupendelea upande mmoja..wanaweza hata kutunga la kwao ila majina ya kurithi siyafagilii...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro: From ITV to TBC1

    Jana usiku nimeona tangazo TBC kipindi kipya cha habari usiku kitarushwa na Jerry Muro na tayari ameshaandaa vipindi kadhaa
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siwapendi msiotandika vitanda vyenu!

    Onyesheni basi kuwa mnathamini tunachofanya sio siku sox hazionekani basi unamkoromea mke wako as if umemuajiri..its not fair at all
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siwapendi msiotandika vitanda vyenu!

    Jamani sio kupangiana zamu bali ni kufanya kwa upendo. Hebu fikiri mtu anasafiri akirudi anakuta chumba hakijulikani mlango upo wapi na kabati lipo wapi. Ch*#i zimetapakaa kila mahali, kitanda shaghalabaghala na viatu ndo usiseme..hivi hata hamu ya majamboz itakuwepo kweli
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siwapendi msiotandika vitanda vyenu!

    Ndio maana muda mwingine access inakuwa denied maana mtu anajiona kama object na sio human being
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siwapendi msiotandika vitanda vyenu!

    Tuwe na utu jamani, wote mnaamka saa 11 na kwenda kazini na kurudi saa 12 jioni, hamna house girl wala mtoto kweli utashindwa kumsaidia mkeo kazi za nyumbani wakati naye pia anachoka na kuleta fungu nyumbani?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Don't Be Late For Meetings

    hahahaaahaaa ahhaaaahahaaa haaahaaaa hahaaaaahaa aa a
  12. B

    JamiiForums Tanzania Inawezekana ikawa kweli?

    Tiba, mapenzi ni sehemu ya maisha ambayo nayo inahitaji tiba ili maisha yaweze kuwa sawa, kama wewe haupendezwi na jukwaa hilo hakuna tabu waache wanaohitaji kufahamishwa na kufahamisha waendelee sio kutoa hypothesis zisizo na reseach
  13. B

    JamiiForums Tanzania Jamani mnalikumbuka hili!.

    Kuna kipindi kilikuwa kinaanza na wimbo wa ..tujengeee tujengeee tujenge na mwananchi engneering contractor..watu shule wakawa wanaimba tujenge na mwananchi chini ya likomtata
  14. B

    JamiiForums Tanzania Malizia sentensi hii uonavyo...

    wakaanza kutuvamia kwa maneno makali
  15. B

    JamiiForums Tanzania Michelle Obama; America's Most Photographed 1st Lady!

    sooo sweet!
Back
Top Bottom