Recent content by Binsar

  1. Binsar

    KERO Mfumo wa AMIS wa BASATA uboreshwe ili kutatua changamoto ya kujisajili

    Mfumo una matatizo, namba zao huduma kwa wateja hawapokei mbwa hawa. Wamesababisha tunapigwa penalty kwa kushindwa kurenew leseni kwa wakati na biashara nnayofanya haihusiani na sanaa yaani napata hasira ukienda halmashauri na wao wapo kama ng'ombe tu hawajui chochote. Tamisemi hapa wanazingua.
  2. Binsar

    Hivi hii Biblia kuna manyang'au hawajabadilisha baadhi ya vipengele vya maandiko kwa faida yao kweli?

    Bro unazingua, ili iwe Divai (Wine) lazima iwe fermented. Bila hivo sio Divai. Soma: Mithali 31: 5-7, MHUBIRI 9: 7, ZABURI 104: 14-15. Hiii itakufaidia kujua kunywa pombe au divai (vyovyote utakavyoiita) ni sawa. Isipokuwa kunywa kulewa (Kuwa Top yaani Nzwiii au Kuzima Gari) Soma: WAEFESO 5...
  3. Binsar

    Sanduku la Agano yawezekana limefichwa na makundi ya siri kama Priory of Sion?

    What?? Very dangerous kwanini? Je uhatari huo ni upi?
  4. Binsar

    Afrika ilishaachwa na Mungu tangu kitambo

    Hivi unajua ulaya na mashariki ya kati wanafanya matambiko ya damu za watu tangu enzi hata sasa? Ndio wanao ongoza kuwa na wachawi wabobevu zaidi je unalitambua hilo? Mzungu alikuletea dini kama pazia jeusi ili usione yeye anafanya nini upande wa pili. Afrika inaongoza kuwa na imani zaidi...
  5. Binsar

    Afrika ilishaachwa na Mungu tangu kitambo

    😂😂😂 Aisee Mzungu alituweza kweli kweli katuharibia watu. Wewe hapo unatoka zako Kanda ya ziwa au Kaskazini au Nyanda za juu kusini, Kanda ya kati au Pwani sio mmoja wa makabila 12 ya Israeli ambayo ndio warithi wa Mungu wa kizungu.
  6. Binsar

    Afrika ilishaachwa na Mungu tangu kitambo

    Au ndo unatimiliza laana ya mtoto wa Nuhu aliyemcheka baba yake akiwa uchi? Wewe unawacheka na kuwakejeli bubu na babu wa babu zako kisa dini utapata laana doubled punguza makasiriko pima hoja na legeza fuvu kuna jambo utalipata. 😂
  7. Binsar

    Afrika ilishaachwa na Mungu tangu kitambo

    Umeandika nini hiki? Unafikiri kama biashara tu ya kiungwana ingefanyika kati ya Afrika, Ulaya na Uarabuni watu wasingevaa nguo? Ila ikaletwa dini kwa hila ambayo hata sasa hivi imefanya waafrika wawe maskini wa kila kitu mbaya zaidi umaskini wa fikra umeletwa na dini na kuchagizwa na utumwa
  8. Binsar

    Afrika ilishaachwa na Mungu tangu kitambo

    Hapo naona Misri imelaaniwa angani na ardhini. Ndugu,miji na falme za kimisri zitapigana. Lakini baadae Misri atabarikiwa, Ashuru (kazi ya mikono ya Mungu) na Israel mrithi wa Mungu. Ufafanuzi kidoho hapo Je baraka za Mungu juu ya Afrika zipo juu ya mabega ya Misri? Au Afrika ndio Ashuru?
  9. Binsar

    Ngozi nyeusi ina laana ya milele

    Mfano Professor Ibrahim Lipumba, msomi na mtaaluma wa Uchumi.
  10. Binsar

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Jilipue tu hakuna namna.
  11. Binsar

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Inategemea na wanahitaji kuona nini. Mfano watu wa Diploma ya IT mnaweza kuomba 20, Wakasema tuchague mwenye GPA kubwa au Aliyefaulu kozi fulani fulani mfano Programming na Networking, au Maintanence na Networking. Je watajuaje wewe una GPA gani bila Transcript? Ushauri: Ambatanisha vyote tu...
  12. Binsar

    Bodi ya Mikopo (HESLB), mfumo unasumbua kujaza fomu online

    Nime-experience the same problem kama wewe hadi sasa bado sijafanikiwa wengine wanasema ni tatizo la mfumo. Zile namba wameziweka pale kama mapambo hazipo active. Sijajua wew umeshatatua tatizo au bado? Naomba mrejesho pia nijue nitafanikishaje jambo hilo.
  13. Binsar

    Msaada jaman

    Mpaka wamkatae duuh! Ui Ase mimi niliomba 2021 oct, na ilikua my first time ku apply kupitia portal nilikuja kuona namba pindi na apply tena march 2022, 2 weeks after usahili kuisha.
  14. Binsar

    Rais Samia: Sensa haitauliza kuhusu Dini ya mtu

    Hahaha noumaa, Angalia Afghanistani huko waislaam kindakindaki (achana na wa huku bongo wa mchongo) huko wameshindwa hio inayoitwa Sharia na Mahakama ya Kiislam wanakimbia nchi yao ya Ki-Taleban.
Back
Top Bottom