MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,466
- 14,881
Utaratibu wa kusajili vyeti vya degree kwa wale waliongilia na form 4 huko polisi ukoje ?Caution
Form 4~mshahara laki nne ukijumlisha na malupu ni laki 6 hapo bado deductions za pssf na vingine
Form 6~mshahara laki tano ukijumlisha na malupulupu inafikia laki 6 na nuc mpaka 7, ila bado deductions
Shahada~mshahara na malupulupu hauzid laki 8 na hapo bado deductions ambapo utafikia kwenye laki 5 mpaka 6
Ukumbusho tu, msije mkajisahau mkajua mnaenda kula bata saana, tuulizeni sisi tunaokula joto ya jiwe huku
KARIBUNI
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana nimeambiwa magereza wanazingua at least ukae hata miaka 5 ndio uvisajili usishtukiwe na ukimkuta mkuu wa gereza mnoko kazi huna tena