Recent content by BinSalum7

  1. BinSalum7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wa 3, Mke kakimbia ndoa yake kisa anataka kazi

    Mkuu napenda kufahamu kabila la mkeo tafadhali.
  2. BinSalum7

    JamiiForums Tanzania Nyumba za Dar zinazouzwa bilioni tano, zinastahili?

    Hii kitu ni kweli kabisa mkuu. Kuna mtu namfahamu amenunua hekalu kabisa huko California kwa 2.3 Billion za Tz.
  3. BinSalum7

    JamiiForums Tanzania Kweli wayahudi wanatawala dunia, kila mtu muoga

    Israel ni kama mpambe anaetumwa aanzishe ugomvi ila muhusika mkuu ni U.S.A. So lazima awepo vita zote za Israel maana yeye ndie muhusika.
  4. BinSalum7

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    Watu wanashangaa uhusiano wa majini na bin-adam. Mie binafsi nimezaa watoto wawili na mwanamke wa kijini. Ilianza kama ndoto ila mwisho wa siku akawa anakuja live kabisa. Kiufupi kwa sasa ni miaka imepita nimetenganishwa nae. Na kama kuna mwenye elimu ya kukosoa au kuthibitisha ninalosema basi...
  5. BinSalum7

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari nzuri

    Kama ni mzoefu anapata kali kabisa.
  6. BinSalum7

    JamiiForums Tanzania NISSAN civilian for sale from Japan

    Hizi za petrol zinakimbia ila mafuta mtihani.
  7. BinSalum7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simulizi ya kifantasia: Solo king: ancient legacy

    Hivi ndugu muandishi ulipona?
  8. BinSalum7

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Dungu Jeshi katinga bongo na bodyguards

    Kuna jamaa zangu wanne walinunua tractor Massey Ferguson kwa jamaa kupitia mnada wa online akiwa London. Ila tractor zilifika ni mbovu kuliko maelezo. Ni mmoja tu ndie aliebahatisha ila wengine wote waliingia hasara.
  9. BinSalum7

    JamiiForums Tanzania Wametepeta: Jeshi lasema halitaruhusu mauaji mengine kumlinda mtu mmoja. D9 sijui

    Sio kwa jeshi hili la Malawi.
  10. BinSalum7

    JamiiForums Tanzania Nimesoma bandiko la mwandishi wa habari Twitter kwamba kuna watanzania wameanza kupewa silaha na Kagame

    Sio mbaya tukipatiwa na M23 wa kutoa mafunzo.
  11. BinSalum7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanzoni nilifikiri ni Utani, ikageuka Kero na Sasa nimegundua ni kweli Na kuukubali

    Kuna sie wengine kununua nguo tunaona ubahili, ila ukipigiwa simu gari inataka spare parts ya million 5 pesa unatoa muda huo huo.
  12. BinSalum7

    JamiiForums Tanzania Nimeishi na hali ya kutisha ya akili (kama si mtu halisi) tangu nikiwa na umri wa miaka 8 hadi sasa

    Mkuu inawezekana ni hali ya kawaida ya kibin-adam ila umeshindwa kung'amua. Ikiwa nitokea utotoni.
  13. BinSalum7

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa Safari yangu ya Dar Kigoma na kurudi Dar. Nimetumia mafuta ya Tsh 230,000/= tu!

    Hongera mkuu, ila sipati picha mie wa Crown 3GR na Kluger 1MZ ingekuaje kwenye gharama za mafuta.
  14. BinSalum7

    JamiiForums Tanzania Msikiti wa Majini (Masjid al-Jinn) ni moja ya sehemu za kipekee mjini Makkah

    Unaweza kufafanua hili mkuu?
  15. BinSalum7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo ngoja nivisanue hivi vitoto va Gen Z

    Mkuu hiyo namba 8 mbona kama umezungumzia introverts.
Back
Top Bottom