Natafuta gari nzuri

Natafuta gari nzuri

Hujaelewa wapi? Ananunua gari ambazo lazima zina changamoto zikirekebishwa vizuri anauziwa mwingine akapambane huko! Unafkiri kila mtu barabarani kaagiza gari ya mil25 sio?

We ukitaka gari mpaka za laki 7 zipo! Ni ww tu..
Aelewi kitu huyu
 
NATAFUTA GARI — BAJETI MIL. 5.

Habari zenu wakuu,

Natafuta gari nzuri isiyo na matatizo yoyote ya kiufundi wala kisheria. Bajeti yangu ni hadi TSh 5,000,000.00.

Ningependa gari aina zifuatazo (kipaumbele):
  • Toyota Brevis
  • Toyota Altezza
  • Nissan X-Trail

Gari iwe katika hali nzuri ya matumizi, iwe imepitia service vizuri, na iwe na nyaraka zote muhimu.

Kama unayo au unamfahamu mtu mwenye gari inayolingana na maelezo haya, tafadhali niPM.
Ushauri wangu ni huu ukibahatika kununua Brevis hasa yenye injini ya 1jz fse hata kama ukiichukua nzima inatembea nenda dukani ifanyie matengenezo haya kagua fuel pump pressure zipo mbili high na low, weka plug mpya orginal, weka oxegen censor orginal badili oil zote injini oil na gear box oil na mafuta ya break , hakikisha umeifanyia weelbalance kwa machine za kisasa

Baada ya yote hayo usiweke mafuta kwenye vituo visivyoeleweka na achana na mafuta ya vibaba weka mafuta full na hakikisha taa haiwaki na kila baada ya tank 3 au 4 nunua dawa ya kusafishia mfumo mzima wa mafuta, ukiifanya hivyo brevis hutakaa uichukie itakuwa na gari imara kwako na kudumu nayo na mambio kama yote
 
Sawa mkuu nimekuelewa
 
Hujaelewa wapi? Ananunua gari ambazo lazima zina changamoto zikirekebishwa vizuri anauziwa mwingine akapambane huko! Unafkiri kila mtu barabarani kaagiza gari ya mil25 sio?

We ukitaka gari mpaka za laki 7 zipo! Ni ww tu..😀
Khaaaa aiseee sawa seran ntakucheki nahitaji ya 500k😂😂😂🙌🙌🙌
 
NATAFUTA GARI — BAJETI MIL. 5.

Habari zenu wakuu,

Natafuta gari nzuri isiyo na matatizo yoyote ya kiufundi wala kisheria. Bajeti yangu ni hadi TSh 5,000,000.00.

Ningependa gari aina zifuatazo (kipaumbele):
  • Toyota Brevis
  • Toyota Altezza
  • Nissan X-Trail

Gari iwe katika hali nzuri ya matumizi, iwe imepitia service vizuri, na iwe na nyaraka zote muhimu.

Kama unayo au unamfahamu mtu mwenye gari inayolingana na maelezo haya, tafadhali niPM.
Mtafute shobaa magari, mzee wa mbiombio ngoogwe.
 
X Trail ipo New Model Number DM..... Inataka 10M
**** Alteza number BRR inataka 4.8M
Zote ziko mwanza ukiwa serious ni simu Moja tu chuma inakufikia ulipo. Zimenyooma engine safi gearbox safi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom