Kweli wayahudi wanatawala dunia, kila mtu muoga

Kweli wayahudi wanatawala dunia, kila mtu muoga

Kupigwa sio ishu Bali kuifuta hii ni ishu ngumu na haitawezekana kuifuta
Hauwezi kufuta taifa lolote maana akibakia hata mmoja tu anaweza kuzaa watoto hata 20 na wote wakaanzisha kizazi upya

After saying that unajua hata kwenye Biblia Israel ilikua na makabila 12 ila 10 yote yalipotea utumwani? Meaning 80% ya wayahudi walishapotelea uarabuni huko, India, Ethiopia etc kwahiyo kama issue ni kizazi YES walishawahi futwa. Mfano nikikuuliza nitajie kabila lolote la wayahudi waliopo pale Tel aviv?? Maana si mnadai hao ndio wa kwenye biblia basi watuambie ni kabila gani na gani.

Why hawasemi? Maana hiyo structure ilishakufa tokea Israel ivamiwe sio tu na Babeli and Persia ila Roman empire pia iliwatawanya sana utumwani na kupoteza identity. So hawana uspecial wowote ule kama mnavyosema otherwise Ujerumani ingekua imelaaniwa maana mlidai anayeilaani Israel atalaaniwa ila ndio kwanza Germany imekua super power na hata hiyo Iran na Saudia n.k zina mafuta kibao na gesi za kumwaga licha ya kuipinga Israel.

Tuachane na mambo ya kuingiza dini kwenye huu mgogoro tunapotosha watu
 
Hilo swali jiulize wewe kwanini vita vyote ambavyo Israel anapigana lazima USA awepo?
Jiulize kwanini USA anasaidia Israel kuliko taifa lingine lolote duniani?
Israel ni kama mpambe anaetumwa aanzishe ugomvi ila muhusika mkuu ni U.S.A. So lazima awepo vita zote za Israel maana yeye ndie muhusika.
 
Ukitaka kujua mosad ni kina nani katizame series inaitwa tehran sio powaa
Hawana lolote mbona walishindwa kuwapata mateka mpaka leo huko gaza hadi walipoamua kuwaachia wenyewe?

Mossad inatumia pesa nyingi sana ndio source ya intel sio agents bali PESA. Hata kumpata Khamenei Jr wameweka dau kubwa la mabilioni ya kitanzania unadhani hapo atakosekana mtu wa kumuuza boss auwawe? Ila baada ya hapo utasikia "oooh Mossad wana uwezo wa kukupata kokote" n.k!!

Na kuhusu movie, kuna kitu kinaitwa propaganda!! Na wenzetu wanaitumia sana kujipa ufalme. Ona zile movie za chuck Norris yaani mmoja tu anauwa wa Viet cong karibu 1000, ilihali kiuhalisia marekani ilipigwa sana hadi kukimbia vita
 
Hilo swali jiulize wewe kwanini vita vyote ambavyo Israel anapigana lazima USA awepo?
Jiulize kwanini USA anasaidia Israel kuliko taifa lingine lolote duniani?
Sababu ni strategic area, hivyo ni kama kambi yake ya jeshi tu. Otherwise hana cha kunufaika na kanchi size ya Mwanza.

Na usianze story za wayahudi sijui wana akili and blah blah, tayari US kuna wayahudi zaidi ya 6 Million so he can actually shift all the Jews to USA and let Tel Aviv burn coz its the brains not the land is it?
 
Hawamuogopi Israel ila USA ndio anahofiwa. Hata Iran inamuogopa US sio Israel otherwise isingekua inalenga Tel Aviv kabisa.

Imagine US asingekuwepo, ina maana hizo air defense za Israel zingekua zimeisha tayari na sahivi makombora yangekua yanatua tu bila interception unadhani Israel inge survive hata wiki moja?

USA is a threat but Israel is not sababu hata Israel inapewa silaha na pesa na USA. In fact Iran ingekua jirani na Israel wangepeleka jeshi la ardhini na ndio ungeona Israel inavyopotea ndani ya siku moja maana ina ukubwa wa mwanza tu so ukiweka nguvu zote za raia 100 Million wa Iran unaimaliza Israel In a week.
1773682258805.jpg
 
Kwa hiyo huyo Mungu ana upendeleo wa kuwapenda waisrael zaidi kuliko waafrika?

Aiseee! Mmepumbazwa mkapumbazika.

Marekani ajitoe kwenye hii vita, halafu wabaki Israel na Iran pekee, wazichape. Tuone kama huyo Mungu wa Israel ana uwezo kweli.

Bila support ya Marekani, Israel [emoji1134] ni MCHUMBA tu!

Hakuna Mungu wa Israel wala bibi yake Mungu wa Israel.

Huyo Israel anatamba kwa sababu ana usaidizi wa Marekani.

Wala sio sababu za kimungu.
Hapa swali la msingi la kujiuliza ni kwanini Israel na USA ni vitu viwili visivyoweza kutengana? Hii ndio hoja ya msingi.

Israel ndio USA na USA ndio Israel, ukishalijua hili hauna sababu ya kusema bila USA Israel ni "mchumba" kwasababu ni vigumu hawa wawili kutengenishwa na kuna sababu za msingi za ugumu huo
 
Hapa swali la msingi la kujiuliza ni kwanini Israel na USA ni vitu viwili visivyoweza kutengana? Hii ndio hoja ya msingi.

Israel ndio USA na USA ndio Israel, ukishalijua hili hauna sababu ya kusema bila USA Israel ni "mchumba" kwasababu ni vigumu hawa wawili kutengenishwa na kuna sababu za msingi za ugumu huo
Lakini sio sababu za Kimungu.
 
AIPAC(America Israel Public Affairs Committee) ndo mzizi wa fitina, Israel lobby imejipanga huko US si mchezo, ni sawa Tu kusema foreign policy za US zina favour Israel. Kumbuka Trump msimu uliopita Tu kapewa dola milioni 250 za kampeni na mwanamama (Jew) Dr.Miriam Andelson ambaye ni mtu aliyeko mstari wa mbele kwenye ishu yoyote inayohusu Israel na kumbuka huyu ni mtu mmoja Tu je hao mabilionea wengi wa kiyahudi wamechanga ngapi?, niambie hata ww ungechomoka hapo?, lazima maamuzi yako yataegemea kupendelea Israel...

Ni sawa na nchi ya Malawi jinsi matajiri wanavyochanga pesa za kampeni lazima utawalipa fadhila tu wako mabilionea wenye background za kijews wanamwaga mpunga Kwa Trump na hawa Jamaa wanachangia vyama vyote viwili, Pesa ndio Kila kitu siku hizi na wale Jamaa Wana pesa chafu, mifumo ya kibenki ni ya kwao na Wana umoja Sana...

Kitu walichobugi waarabu ni kimoja Tu kumuamini mazina US na kutegemea ulinzi toka kwake. Halafu kumbuka Israel Hana haja na mambo ya negotiations, yeye ana lengo lake la kuwa the only superpower middleast linatimia then azidi kumega maeneo Kwaajili ya mission ambayo Bibi Netanyahu alisema anaiona Greater Israel kama historical and spiritual mission (wengi wetu tunaguswa na hii kitu ya greater Israel kidini bila kujua haina uhusiano kabisa na dini), watu wasichoelewa ni nini sasa Hapa?,


Hata kwenye uniform za Jeshi la IDF zina ramani nzima ya Greater Israel pembeni ya mabega yao imechorwa, ramani imechukua sehemu za Saudia,Jordan, Egypt, Lebanon, Syria...unafikiri anaye destablize middle east ni Nani kama siyo kazi ya Israel na vikundi vya kigaidi vyenye malengo kama ya Israel Tu.

Huwezi kuchukua maeneo ikiwa wenyeji wa hayo maeneo wako strong lazima uwaharibu ili iwe rahisi kuchukua Kwa ulaini, kumbuka zaidi ya miaka arobaini Netanyahu anasema bado siku kumi au wiki mbili Irani atengeneze nyuklia hahaha, huoni Tu ana Nia gani?, US na Israel wakivamia sehemu na wakashinda basi wanaacha nchi vibaya mfano nchi zote zilizopigwa na US-Israel na NATO Hadi sasa hazina utulivu, bado lengo watu hawajalijua Tu?, kama ni vita ya tatu basi vitaanzia middle east.

Ni Bora uwe Adui wa US kuliko kuwa rafiki Yake...
 
Kwa walokole huwaambii kitu kuhusu Israel wao,
wakati waisrael wenyewe Sasa hata yesu hawamtambui na nimarufuku kuombea israel kupitia huyo yesu, na ni marufuku kutaja hadharani jina la Yesu . Badala ya waisrael watuombee sisi tufanikiwe kama wao kinyume chake masikini anampa tajiri chakula wakati yeye analala njaaa
 
Kwa walokole huwaambii kitu kuhusu Israel wao,
wakati waisrael wenyewe Sasa hata yesu hawamtambui na nimarufuku kuombea israel kupitia huyo yesu, na ni marufuku kutaja hadharani jina la Yesu . Badala ya waisrael watuombee sisi tufanikiwe kama wao kinyume chake masikini anampa tajiri chakula wakati yeye analala njaaa

nafikiri umewaelezea muslims wa tanzagiza vizuri sana labda bila ya hata kujua, rostamu ni usd bilionea na anazidi kuwa bilionea amemilikishwa karibia kila kitu kwa wizi wa rasilimali za nchi nani anayemuwezesha? ni muslims wa tanzagiza ila wao wenyewe muslims wa tanzagiza sasa maisha ya watu wao ndiyo hivyo tena, ila power yote wamempa rostamu, lkn rostamu siyo mwafrika blackman na wala yeye hajioni hivyo, lkn mnamilikisha urithi wenu kama wote …
 
Ukikaa na mjapani huwezi sikia stori za kusifia watu wengine au taifa lingine akiongelea marekani ni kutokana na madhara ya bomu la atomic. Sisi waafrika Sasa reference zetu myahudi mzungu na mwarabu, kwanini tusimsifie mosepe au aliko dangote waafrika wenzetu. Akili hazina Rangi unaweza ukawa mtu mweusi na ukawa na akili nyingi kuzidi wengine
 
Silaha zote ambazo Israel inapata toka Marekani, haipewi bure bali inanunua. Lakini utaratibu wa kununua silaha kubwa toka Marekani, ni lazima upeleke ombi kwanza, omni lijadiliwe na Congress kama uuziwe au la.

Israel inanunua silaha toka Marekani, na kuna silaha pia Marekani inanunua toka Israel. Soma hapa chini kidogo, ndiyo itaelewa:

  • Major Contracts: The U.S. approved a $6.6 billion sale in early 2026 for 30 Apache attack helicopters and infantry assault vehicles to Israel.
Umeona hapo? Marekani inaiuzia silaha Israel, siyo kwamba Israel inapewa bure.
Ndio wananunua kupitia msaada wa pesa wanaopewa na serikali ya USA. Kumbuka wananunua kwa makampuni binafsi ya US so pesa wanapewa na serikali ya USA maana kwenye biashara hakunaga bure.

Tokea October 23 2023, USA imeshatoa zaidi ya USD 23 Billion za msaada wa kijeshi sasa unadhani hiyo USD 6 Billion waliitolea wapi kulipa? Source yangu Center for Foreign Relations USA.
 
Wanasema trump kaanzisha vita asiyoiweza, lawama zote kwake. Israel ilishaamuaga yenyewe itaingia mzigoni hata bila kusaidiwa na marekani. Ile nchi hata ikichangiwa ipigwe na dunia nzima itashaa. Israel si taifa la kuchezewa kindezi na mataifa ya dunia, ina uwezo wa kupigana vita pana kwa wakati mmoja ndio mshangae!
 
Iran iombe amani tu mambo yasiwe makubwa. Itachakazwa na kuchakaa vibaya. Waisrael ni watu wa vita tangu kale, hata ukiwapiga wakadhoofika watainuka tena na kukupa kipigo cha karne, hawarudigi nyuma wale. Katoto kadogo kako kwenye mbeleko na baba yake vitani kanaona mapambano hadi kanakua kakubwa hutaweza kumnyuka, atakudunda tu
 
Vita ni ya Israeli, Israeli ndiyo aliyeanzisha vita against Iran, Israeli ndiyo aliowaua ayatola wa irani, mke wake, watoto mpaka wajukuu na cream yote ya jeshi, Israeli ndiyo anayepeleka moto Lebanon, Israeli ndiye anatesa Palestina in Gaza.

hata watoto 170 wanaoripotiwa kuuliwa shuleni husikii israeli akitajwa ila lawama zote kwa D.Trump hausikii israeli ikitajwa wote wanaogopa kulaumu mhusika mkuu wanamlaumu Trump because its easy, wanajua hata neno israel tu kulitamka ujipange haswa wengi hawawezi hata kulitaja bila ya mafumbo mafumbo.

brainwashing ni silaha kubwa sana, wayahudi wamefanikiwa kwenye hilo, muslims na communists wote wanaogopa, ila kwa D. Trump hapo ndipo wamepata kibonde, wanamalizia hasira zao zote hapo, huku wakiendelea kuuliwa na israel with impunity.

Kweli jews rule the world …
Hujawai sikia ile kauli inayosema Israel mtoa roho kamjia😁😁😁
Wakiamini kuna malaika anaitwa Israel pia,sasa kama nchi imepexa jina la malaika tena mtoa roho inategemea nini?😁😁
 
Vita ni ya Israeli, Israeli ndiyo aliyeanzisha vita against Iran, Israeli ndiyo aliowaua ayatola wa irani, mke wake, watoto mpaka wajukuu na cream yote ya jeshi, Israeli ndiyo anayepeleka moto Lebanon, Israeli ndiye anatesa Palestina in Gaza.

hata watoto 170 wanaoripotiwa kuuliwa shuleni husikii israeli akitajwa ila lawama zote kwa D.Trump hausikii israeli ikitajwa wote wanaogopa kulaumu mhusika mkuu wanamlaumu Trump because its easy, wanajua hata neno israel tu kulitamka ujipange haswa wengi hawawezi hata kulitaja bila ya mafumbo mafumbo.

brainwashing ni silaha kubwa sana, wayahudi wamefanikiwa kwenye hilo, muslims na communists wote wanaogopa, ila kwa D. Trump hapo ndipo wamepata kibonde, wanamalizia hasira zao zote hapo, huku wakiendelea kuuliwa na israel with impunity.

Kweli jews rule the world …
Unaweza ukawa umeenda shule ila hujaelimika, ndio maana hadi leo kuna wajinga utawasikia taifa teule, ndio maana wachungaji wote huwa hawakosi wajinga wao wa kuwadanganya
Ni rahisi sana kumdanganya kafir kuliko kitu chochote , imani zao kwa mungu ni ndogo sana, imagine hadi leo wanawashobokea watu ambao wakiwaona wanawatemea mate
 
Other major buyers and partners for Israeli defense products include European nations (accounting for 54% of exports, notably Germany),
What is YSD 15 Billion ilihali defense expenditure kwa EU ni almost EUR 400 Billion so its a negligible sum. Germany pia wanafanya hivyo kama compensation kwa mauaji ya halaiki.
 
Back
Top Bottom