Recent content by Binman

  1. Binman

    Account inasalimikaje hapa?

    Aaah Kwamin hapo labda hiyo mguu angebana mifuko yangu yote ndo hela ningempa. As long as mfuko mmoja upo free zinawekwa fasta tyuuu[emoji109] [emoji109] [emoji109]
  2. Binman

    Loan Request

    Nenda bank... Mkuu...huku hawatoi mkopo...kirahisi hvyoo
  3. Binman

    GB WHATSAPP...

    Habari zenu wakuu... Nina tatizo moja,, natumia Gb whatsapp ni latest vission nikiweka video status.. Then nikija kuichek nakuta haitoi sauti but ni video yenye sauti.... Na sijatouch pale pa GIF... msaada plz
  4. Binman

    Naombeni ushauri; nichukue huu mkopo?

    Habari zenu wakuu... Eehe bhana kuna changamoto moja inanikabili.. Ni kuhusu ule mkopo wanaotoa kwa wale wa diploma za CLINICAL MEDICINE. Ishu iko hvii unaingia mkataba na serikali baada ya kumaliza kusoma unapangiwa kazi katika maeneo yao ya kanda ya ziwa.. SWALI LANGU NI... Kwa wale wenye...
  5. Binman

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    Anaweza kwenda kusalimia,,, kama anandugu.... Lakini Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Binman

    Pale msanii unapotoa nyimbo 3 afu zote zii

    Davido ni mashineee... Weka mbaliii na watoto Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Binman

    Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha sita 2017

    Thanks much bro... Post sent using JamiiForums mobile app
  8. Binman

    Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha sita 2017

    Pandahili mkuu Post sent using JamiiForums mobile app
  9. Binman

    Mjadala: TCU kuzuia vijana wa tahasusi ya CBG kusoma shahada za afya

    Daaah TCU... Ni shidaaahh,,, elimu ya bongooo... Wanakuja na taarifa hapo hapo... No time Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
  10. Binman

    Yaliyojiri, Mashindano makubwa ya usomaji wa kitabu kitakatifu Qur'an leo 11.06.2017 uwanja wa taifa

    Shida sio ramadhani... Shida ni kuvunja makubaliano.... Think big
  11. Binman

    Njia gani nitumie watoto wangu wawe na akili darasani?

    [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]... Mmmmh hayo majibuuu asanteee
  12. Binman

    Kumbe mpenzi mpya wa Harmonize aliwahi kuolewa na mmasai

    Mmmh... Harmonize kapotea hapo..... Kumbe alikuwa ex baby wa mmasai.... Hicho kiatu harmonize akimtoshiiii
  13. Binman

    Kama kuna mwenye kufaham namna kubadilisha combination

    Kama shule ina hiyo comb ya CBG na yeye anavigezo vya kwenda CBG.. ATABADILISHA TU... maana walimu wa academic huwa wanatangaza.. Au akiona kimya amfate academic ofisini kwake.... All the best
  14. Binman

    Madhara ya kutovaa chupi kwenye events kubwa,check uo muhalo!

    Hahahahahahaha....... . Ngoma ikijaa inavujaaaaa
  15. Binman

    Maisha halisi ya Watanzania waishio hapa Afrika Kusini

    Thanks much.... Nimekuelewa....
Back
Top Bottom