Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,814
Hapo lazima uchome account kama vile forex!
Duuh! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] twende jamii photo kuna picha imewekwa babu jinsi mnavyopimwa
Hii noma sana mkuu [emoji23] [emoji23]SITAKI.....!!!.Potelea mbali, acha nisiwe mwanaume halisi. Liwalo na liwe...
![]()
kwa wabishi kama mimi mbona hapo hata nauli hapewi
Hongera kwa kwa kuwa mkweliHapo kwa nilivo Mimi.... Natoa zote, nampa zote!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaibiwaaaaaa [emoji444]