Recent content by bin duzu

  1. B

    MSAADA I PHONE 6 PLUS INAANDIKA "SEARCHING"

    Habari, simu i phone 6 plus imegoma kussuport network inaandika "searching" muda wote. naomba msaada wenye uelewa tafadhali. ahsante
  2. B

    Msaada: Recruitment portal ya sekretarieti ya ajira inasema sina vigezo wakati nilishawahi omba kazi zingine hapo awali

    Mimi pia nilikutana na tatizo Hilo n nine pats ufumbuzi, ni hv nenda academic qualifications then jaza nafasi za fm 4, fm 6 na details zako za chuo. Then update kila Kitu kitakuwa ok
  3. B

    Wauza smartphone tukutane hapa

    NAHITAJI I PHONE 6 PLUS 16 GB GOLD MPYA, NICHEKI TUFANYE BIASHARA
  4. B

    Msaada: Recruitment portal ya sekretarieti ya ajira inasema sina vigezo wakati nilishawahi omba kazi zingine hapo awali

    Aisee mimi pia nimepata hili tatizo niliwapigia wakanidirect nipige no. 0784398259 ila namba haipatikani
  5. B

    Utumishi huu uhuni mmeanza lini?

    Nilikuwepo jana hiyo, hayo maswali yote research yan bora wangetuambia tusome topic ya research tu. Tujaribu next time
  6. B

    Wasanii wamtolea povu zito ShamsaFord baada ya kuambiwa hawamfikii kwa uzuri Irene Uwoya

    Nimejaribu kukodoa macho na masikio sijawaona hao bongo movie waliomtolea povu shamsa, mleta mada uwe na ushahidi wa taarifa zako
  7. B

    Pep Guardiola, Mwalimu bora wa miaka yote

    Kocha mzuri niliyewahi kumshuhudia kwenye dunia ya soka
  8. B

    Nitafurahi Kilimanjaro Stars wakipandishwa kwenye lori kurudi nyumbani baada ya mechi ya mwisho, wametuaibisha mno!

    Wale ni wakufikia magereza wabadilishane na kina babu seya, aibu tupu
  9. B

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tayari wameshafanya yao, tz ya viwanda tutaifikia kwel?
  10. B

    Nini kinataka kulikumba Taifa la Tanzania?

    Unatupumzikia tu, nchi inaenda kama mungu alivyopanga hakuna baya wala zuri
  11. B

    Sekretarieti ya Ajira; Tangazo la kuitwa kwenye Usaili sehemu mbalimbali. Kuanzia tarehe 18-24 Novemba 2017

    Nimesoma vzurrr mkuu n nimeelewa, jina sijaliona ngoja ni apply nafasi nyingine
Back
Top Bottom