Msaada: Recruitment portal ya sekretarieti ya ajira inasema sina vigezo wakati nilishawahi omba kazi zingine hapo awali

Mbute na chai

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
523
525
Recruitment portal ya sekretariet ya ajira inasema sina qualification za kua-apply vacancy huku kila kitu kiko sawa na nilisha-apply vacancy zingine hapo awali. Kuna mtu anakumbana na hii adha kama mimi au kukataa huku kunamaanisha nini?

Asante.
 
Recruitment portal ya sekretariet ya ajira inasema sina qualification za kua-apply vacancy huku kila kitu kiko sawa na nilisha-apply vacancy zingine hapo awali. Kuna mtu anakumbana na hii adha kama mimi au kukataa huku kunamaanisha nini? Asante.

Sasa kama tu System ambayo huwa haiongopi imekukataa Mkuu, unataka Sisi tukukubalie hivyo hivyo wakati tunajua kuwa hutotakiwa? Kwani una ulazima wowote ule wa Wewe Kuajiriwa Serikalini wakati huko kila uchao tunaambiwa nafasi zimejaa?
 
Asante
 
Kuna problem na system ,kama uko Dar, nenda pale utumish kawaone IT they will help you,system haitakiwii ikukatalieee hata kama umeitwa interview 500,
 
Aisee mimi pia nimepata hili tatizo niliwapigia wakanidirect nipige no. 0784398259 ila namba haipatikani
 
Recruitment portal ya sekretariet ya ajira inasema sina qualification za kua-apply vacancy huku kila kitu kiko sawa na nilisha-apply vacancy zingine hapo awali. Kuna mtu anakumbana na hii adha kama mimi au kukataa huku kunamaanisha nini?

Asante.
Fanya updates za kuedit taarifa zako kwenye qualifiaction tuu wala hakuna uchawi
 
Recruitment portal ya sekretariet ya ajira inasema sina qualification za kua-apply vacancy huku kila kitu kiko sawa na nilisha-apply vacancy zingine hapo awali. Kuna mtu anakumbana na hii adha kama mimi au kukataa huku kunamaanisha nini?

Asante.
Ingia kwenye qualification update education hapo.. Kwa msaada zaidi kwenye website yao wameweka tangazo la Ku update..
 
Inakubali jaribu ku updates taarifa zako mkuu
20180307_115207_rmedited.jpg
 
Recruitment portal ya sekretariet ya ajira inasema sina qualification za kua-apply vacancy huku kila kitu kiko sawa na nilisha-apply vacancy zingine hapo awali. Kuna mtu anakumbana na hii adha kama mimi au kukataa huku kunamaanisha nini?

Asante.
Hii kitu hata mimi imenikuta mfano kwa kazi ya degree inasema hii kazi inaitaji degree wakati CV yako inaonyesha una degree nmejaribu hata kwa kazi form bado imenigomea.nmetuma email tangu juzi sijajibiwa na Secretariat sijui wanataka niandamane
 
Mimi pia nilikutana na tatizo Hilo n nine pats ufumbuzi, ni hv nenda academic qualifications then jaza nafasi za fm 4, fm 6 na details zako za chuo. Then update kila Kitu kitakuwa ok
 
Back
Top Bottom