Recent content by Bin Chuma

  1. Bin Chuma

    Ushauri: Nataka ninunue baiskeli kwa mazoezi na safari fupi fupi

    Kwa hiyo ni kusoma size ya tairi tu, haihusiani na ukubwa wa baiskeli sio.
  2. Bin Chuma

    Ushauri: Nataka ninunue baiskeli kwa mazoezi na safari fupi fupi

    Wataalamu wa baiskeli, nitajuaje size ya baiskeli
  3. Bin Chuma

    Nimeona video ya kijana akijirusha kwenye boat ya Zanzibar fast ferries, nini kilijiri?

    [emoji848]Huyo alie record ni kama alijua kuna mtu atajirusha akaweka sawa camera
  4. Bin Chuma

    Ofisi za mamlaka ya mapato Tanzania (TRA ) kuwa wazi tarehe 30 NA 31 December, 2023

    Watoe majibu, wana nchi wanalia wanataka kufunga tena biashara sababu ya madeni ya zamani, mtu alishindwa kulipa deni akafunga biashara akapotea, amepata matumaini ya kuanza upya kutokana na agizo la MAMA, kwamba madeni zaidi ya miaka 5 asamehewe aanze upya. Waziri mkuu nae akasema hivyo hivyo...
  5. Bin Chuma

    Ofisi za mamlaka ya mapato Tanzania (TRA ) kuwa wazi tarehe 30 NA 31 December, 2023

    MAMA alitoa msamaha kwa wafanya biashara walio na madeni ya zaidi ya miaka 5, lakini wakienda TRA kwa ajili ya kuendeleza biashara zao waendelee kulipa kodi wanakutana na deni na wanatakiwa walipe tena, wakati huyu mtu alipotea miaka yote hiyo shauri ya kushindwa kulipa madeni. Sasa hamuoni kama...
  6. Bin Chuma

    Ofisi za mamlaka ya mapato Tanzania (TRA ) kuwa wazi tarehe 30 NA 31 December, 2023

    Mimi nimetumiwa sms ya kudaiwa kodi, na kodi nilishalipa tangu mwanzo wa mwaka, ni kawaida huwa nalipa full mwaka mzima, kuna namba za simu wameziweka kwenye hiyo sms kwamba niwasiliane nazo kama kuna maelezo, hizo namba zinaonyesha zipo diverted na huko hazipatikani.
  7. Bin Chuma

    Je, kuna ubaya kuchoma nguo zako zilizochakaa?

    Nguo ikiwa imechakaa ni sawa tu kuchoma, huwezi kugawa kila nguo, kama boxer, chupi, vest, nk hizo ni za kuchoma tu
  8. Bin Chuma

    Nifanye Nini simu yangu isiniandikie storage full?

    Kweli kaka, mi tangu nimeanza kumiliki simu sijawahi kuuza, huwa naweka tu, zimejaa tangu enzi ya Nokia jeneza, kweli kuuza vitu ni kipaji.
  9. Bin Chuma

    Msaada range rover

    Model gani?
  10. Bin Chuma

    Nauza Tank la Maji used

    Laki 1 ipo mfukoni
  11. Bin Chuma

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Wajuzi wa simu nauliza simu gani nzuri kati ya Samsung s23 ultra au Samsung z4 foldable. Na kwa nini ipi ni nzuri kuliko nyingine?
  12. Bin Chuma

    Kwa wale msiotumia pombe. Mnatumia kinywaji gani kupooza makoo yenu?

    Kuna kinywaji Baltika, nilikuwa naielewa sana, ila sasa hivi hazipatikani
  13. Bin Chuma

    Kufungua router/modem iliyofungwa.

    Wakuu habari zenu, nina tatizo la hii router, D-Link DWR 730 inakuwa haiunganishi internet, mwenye ujuzi nazo naomba msaada
  14. Bin Chuma

    Leseni ya udereva Bara hauwezi kuitumia Zanzibar. Kitu gani kingine hakitumiki?

    Leseni haitumiki vipi zanzibar, mbona tunatumia Leseni za Tanzania kwenye nchi nyingine kama Kenya, Zambia, Congo, Burundi, Rwanda, n.k. Au sijaelewa mimi
  15. Bin Chuma

    Nimeamini viongozi wengi waliishi na Magufuli siyo kwa dhati ya mioyo yao bali kwa unafiki

    Nilichojifunza hakuna kitu kibaya kama kutaka kumaliza kila kitu mwenyewe, kuona wengine hawajui kitu, na zaidi kutaka kusifiwa kwamba wewe ni kiboko, wakati huo wewe ndio umeshika mpini. Wengi watakupa sifa utakazo ili kujinusuru na mamlaka yako.
Back
Top Bottom