Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,512
- 860,557
Never 200k simu nzuri! Trust me never.. Matatizo yatakuwa yaleyale baada ya muda na kwa vyovyote vileSio lazima afike huko simu zipo we unawaza 500k...
Wakati anaweza kupata 200k nzuri tu na akatumia vyema
Storage haitazidi 64gb
Ram haitazidi 4
Haiwezi kuwa 5G
Itakuwa sio android 10+ etc
Sent using Jamii Forums mobile app