Recent content by billsoa

  1. B

    JamiiForums Tanzania Wakati muafaka Oryx Gas kupunguza bei za gesi zao, Mh. Waziri tetea Wananchi kwa maendeleo ya Tanzania

    Naona walimeshafanyia kazi nimekutana gari ya matangazo Sasa wanauza tsh 35000 badala ya tsh 48000 Bei ya mwanzo.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete Rais mbovu ambae historia itamkumbuka kwa kuinyima nchi Katiba Mpya

    Siku ccm itakapokuwa chama cha upinzani nchini ndio watakumbuka katiba mpya kwa maslahi ya mustakabali wa taifa tz.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza 'kamshahara' ka October 2019 ndani ya siku 2

    Ase we acha tu maisha haya yanaenda kasi sana.mimi ulivoingia tu nikatoa.nimeenda kulipa deni kwa masawe dukani na sasa nimejenga uaminifu na nimekopa tena niliko hapa nasubiri novemba salary hamna namna mkuu.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ianze kuwachunguza wanaonunua magari mapya na kujenga nyumba mpya na pia isambaze mashushu baa na hoteli zote. Ni wahujumu uchumi!

    Wenzio wanawivu wa maendeleo ndio maana wanajituma.wew umewekwa kiben 10.haujitumi alafu unawaza kuchomoa betri .
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga!

    Mimi kama mwenyekiti nakula 4 afu inayobaki itakuwa yako njoo pm[emoji109][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji709][emoji709]
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba ni mseja

    Alieelewa anisaidie kunichakatia au kunyambua lengo la ujumbe
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mh Rais Wetu asipochaguliwa 2020 kutuongoza,Nitaandamana

    Rudia kusoma huo uzi mwenyewe umeuelewa.kajipange upya au alie elewa anifafanulie
  8. B

    JamiiForums Tanzania Utata wa kifo cha muuguzi Bagamoyo

    Sifa haziendani na huyo bint.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mtu kamili vs mtu nusu

    Asante
Back
Top Bottom