Only in Tanzania: Amshukuru Rais kwa kupona kwenye Ajali ya Basi

Katika kile ambacho tunaweza kukiita Addiction ya Magufuli, manusra mmoja wa ajali ya basi LA Majinja iliyotokea leo ameishukuru serikali ya awamu ya tano ya Rais Magufuli na jeshi la Polisi kwa kupona kwenye ajali.

Nadhani tunahitaji elimu ya kutenganisha utendaji wa serikali na mambo mengine. Itafika kipindi hata ukimtia mimba mkeo unaishukuru serikali ya awamu ya tano chini ya Raid Magufuli

Halafu ana lafudhi kama ya ndugu zake zumbemkuu na @shakaza
View attachment 1255024
hili litakuwa linaliwa nyuma. mwanaume huwezi kuwa mdebweda namna hii!
 
Wewe tu huoni. Utaona ukifa.
Mkuu wa wilaya kafika timely, polisi wamefika timely. Kipindi cha nyuma haya yalikuwa hayatokei ndo maana watu walikuwa wanaiba vitu, wanaua majeruhi ili kujustify kuwa walikuwa wanawasaidia.

Hujawahi pata ajali wewe. Endelea kusali usipate ndugu yangu.
Jiwe bana yani hamna chochote alichofanya tangu awe rais nikurukaruka tu hapa na pale na kutoa matamko.

Kawe Alumni
 
Katika kile ambacho tunaweza kukiita Addiction ya Magufuli, manusra mmoja wa ajali ya basi LA Majinja iliyotokea leo ameishukuru serikali ya awamu ya tano ya Rais Magufuli na jeshi la Polisi kwa kupona kwenye ajali.

Nadhani tunahitaji elimu ya kutenganisha utendaji wa serikali na mambo mengine. Itafika kipindi hata ukimtia mimba mkeo unaishukuru serikali ya awamu ya tano chini ya Raid Magufuli

Halafu ana lafudhi kama ya ndugu zake zumbemkuu na Chakaza

View attachment 1255024
Umekurupuka ndugu yetu, haraka za nini? Pamoja na kuposti hii clip, kwa bahati mbaya hukumsikiliza alichokuwa anasema kutokana na kumchukia Magufuli. Alipongeza serikali kwa mabadiliko yaliyopo kiasi mkuu wa Wilaya ameweza kufika kwa haraka katika Eneo la ajali ! Ingalikuwa zamani ..:::
 
Katika kile ambacho tunaweza kukiita Addiction ya Magufuli, manusra mmoja wa ajali ya basi LA Majinja iliyotokea leo ameishukuru serikali ya awamu ya tano ya Rais Magufuli na jeshi la Polisi kwa kupona kwenye ajali.

Nadhani tunahitaji elimu ya kutenganisha utendaji wa serikali na mambo mengine. Itafika kipindi hata ukimtia mimba mkeo unaishukuru serikali ya awamu ya tano chini ya Raid Magufuli

Halafu ana lafudhi kama ya ndugu zake zumbemkuu na Chakaza

View attachment 1255024
 
Katika kile ambacho tunaweza kukiita Addiction ya Magufuli, manusra mmoja wa ajali ya basi la Majinja iliyotokea leo ameishukuru Serikali ya awamu ya tano ya Rais Magufuli na jeshi la Polisi kwa kupona kwenye ajali.

Nadhani tunahitaji elimu ya kutenganisha utendaji wa Serikali na mambo mengine. Itafika kipindi hata ukimtia mimba mkeo unaishukuru Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Magufuli

Halafu ana lafudhi kama ya ndugu zake zumbemkuu na Chakaza

View attachment 1255024
mrissho gambo.rc wa arusha alisema mvua ni jihudi za pombe
 
Labda amekuwa induced kusema hayo lakini yeye mwanachi kama ni mtu mwenye kujielewa angebaki kuwa firm bila kushawishiwa cha kusema
 
Huyu mnakyusa mwenzangu utafikiri hajapata ajali vile. Alikuwa na muda wa kufuatilia uwepo wa mkuu wa Wilaya, kumtambua mheshimiwa Sia, kutambua mpaka Wilaya waliyopo na pia aliweza kufuatilia kwa umakini kabisa tukio la gari lao kufeli breki ndani ya hizo dakika tano au sita.
 
Back
Top Bottom