Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,927
- 27,167
Nakwenda Zimbambwe

Haswa chache mno umeandikaNdo ungeelewa?
Ahsante kwa taarifa best1.Mtu kamili.
Huyu ni yule afanyaye mambo yake kwa umakini, anakiamini kile anachotaka kukifanya/maamuzi anayotaka kuyaamua lakini kabla hajasonga mbele katika kutenda kile alichoamua anaruhusu mawazo ya watu ili kuthibitisha usahihi wa kitu/jambo taraji kufanyika.
2.Mtu nusu.
Huyu yeye kila kitu/jambo kwake ewala!
Anasimamia alichokiamua aidha chenye manufaa/kisicho na manufaa, kizuri/kibaya, Chenye kuleta furaha/huzuni, chenye kuleta mshikamano/utengano.
Kwa ufupi hashauriki, wala kuingiliwa maamuzi yake.
Katika uongozi nyanja zote kunatakiwa kuwe na viongozi ambao ni watu kamili, wanaokubali kurekebishwa, kukosolewa, kukubali na kupokea changamoto.
Uwepo wa viongozi ambao ni watu nusu kunaweza kupoteza kabisa picha halisi ya uongozi bora.
*Muwe na asubuhi njema*
Unusu umo kwenye ukamilifu na ukamilifu umo kwenye unusu. Mimi naamini hivyo !!!1.Mtu kamili.
Huyu ni yule afanyaye mambo yake kwa umakini, anakiamini kile anachotaka kukifanya/maamuzi anayotaka kuyaamua lakini kabla hajasonga mbele katika kutenda kile alichoamua anaruhusu mawazo ya watu ili kuthibitisha usahihi wa kitu/jambo taraji kufanyika.
2.Mtu nusu.
Huyu yeye kila kitu/jambo kwake ewala!
Anasimamia alichokiamua aidha chenye manufaa/kisicho na manufaa, kizuri/kibaya, Chenye kuleta furaha/huzuni, chenye kuleta mshikamano/utengano.
Kwa ufupi hashauriki, wala kuingiliwa maamuzi yake.
Katika uongozi nyanja zote kunatakiwa kuwe na viongozi ambao ni watu kamili, wanaokubali kurekebishwa, kukosolewa, kukubali na kupokea changamoto.
Uwepo wa viongozi ambao ni watu nusu kunaweza kupoteza kabisa picha halisi ya uongozi bora.
*Muwe na asubuhi njema*
Nilikuwa natafuta mtu kamili. Au pengine mtu nusu ili tuchukue nusu yake na nusu yangu tuuende mtu kamili...Wasemaje?Ulikuwa watafuta nini huku???![]()