hata kwenye kitabu cha biblia imeandikwa Je unaweza kuanza kujenga msingi wa nyumba bila kujua gharama ya msingi na nyumba? mpaka Rais ametoa uamuzi huo ameshapiga hesabu hela itapatikana vipi. kwani pesa ya kununua ndege ilitoka wapi?
simple kumsahau 1. Focus kwenye mambo yako jiweke bize na kazi na mazoezi 2. kata mwasiliano naye kabisa even block no yake 3. fahamu kwamba hiyo hali ya kutaka kurudiana naye ni 10% ya maamuzi ya kuachana naye 4. usitongoze demu kwa sasa jipe muda angalau 1 year. 5. ukimkumbuka basi kumbuka...
nimekuwa nikiona video youtube maisha ya mabillionaire waliotajirika kwa FOREX trade wnaonyesha majumba, magari na vitu vya gharama walivyochuma kupitia forex, lakini sijwahi kuona mabillionaire wa SOCCER BET ina maana tunaobet tunaliwa tuu hakuna matajiri wa bet?
hahahahaha sure broo. mimi huwa sipasui kichwa natufata team zangu 2 zenye probability kubwa ya kushinda na zenye odd ya 1.05 double chance, total odd 1.1 naweka 500,000 napata faida ya 45,000 kila siku.
haiwezekani inter tunawapa morota na pesa juu.Abromo ameshaona pengo kubwa sana mbele atamwaga pesa mingi ya kumchukua. na icardi ana uhakika akitua chels hakosi namba
haiwezekani inter tunawapa morota na pesa juu.Abromo ameshaona pengo kubwa sana mbele atamwaga pesa mingi ya kumchukua. na icardi ana uhakika akitua chels hakosi namba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.