Huyu bwana kaumia sana mimi kuolewaa

Huyu bwana kaumia sana mimi kuolewaa

Huyo ndo atakayekuwa anakuondolea stress mumeo anapozingua, wewe jishauwe tu hapa, usifunge biashara iliyokufanya ukafungua Duka la jumla!
 
Duuh! Tunatofautiana sana yaani mambo ya ndoa yangu sijawahi kuyapost kwenye mtandao wowote! Baada ya kuoa sikuthubutu kuweka picha yangu au ya mke wangu mtandaoni.

Nilipopata mke mitandao haikujua, nilipopata watoto mitandao haikujua, na mengineyo ya kifamilia mitandao haikujua wala haitajua.

Nikwambie kitu wewe ni tatizo tena kubwa maana bado una akili ya uwaruwaru, hujajua ndoa inasitiriwaje, hujajua kuwa hata mmeo atakuwa anakusoma kimya kimya utajikuta anaanza kutokukuamini taratibu. Acha kujianika mitandaoni maana inaonekana unapenda kujionyesha onyesha mitandaoni ili kuwakomoa adui zako.

Badili mtazamo wako wa kidemudemu uwe na mtazamo wa mke wa mtu, mblock huyo jamaa ikishindikana badili namba za simu, tumia jina lingine mtandaoni, tulia acha uwaruwaru.
 
Jamani wanaume tunayo kazi, hawa wanawake tunajidanganya tumeoa kumbe walikuwa na wanaume wengine kabla, na kama huyu anadiriki kusema alikuwa wake wa moyo !!, hivi unategemea atakuwa amemuacha mwanaume aliyemuanzishia Uzinifu !!,
Na ikitokea bahati mbaya wewe umemuoa sasa halafu ukawa humpi alivyokuwa amezoeshwa na huyo njemba wake wa awali, si ndio watakuita wewe fala huyu ametoka we njoo mara moja, ni kweli hiyo tabia ulioonesha ni mbaya, huku unatuambia nimefunga ndoa takatifu, na uchafu huo unaouendeleza kwenye JF, mumeo huko amejikalia anajua nimeacha mke nyumbani
 
Mamboz?
Jamn kuna watu hata sijui niwaweke kwenye kundi gani,sawa aliwahi kuwa wangu wa "moyo" ila ghafla akabadilika.Mawasiliano akakata na baada ya muda akanitangazia anaoa,basi kwa uhakika akanitumia mipicha ya harusi yake mpk memory ikajaa.ukweli niliumia ila Mungu si Jf namimi nikabarikiwa mume .

Miez miwil iliyopita ndio nilifunga ndoa takatifu, ukweli sikumjulisha coz sikuona sababu ya kufanya hvyo.Ila dunia haina siri taarifa ikamfikia akanipigia cm kunipa hongera basi, kuolewa ni baraka jmn nikawa najikuta tu napost picha na video za harus yngu kwenye status yangu wasap nikimshukuru Mungu. Sasa tangu huyu bwana kajua nimeolewa imekua kero kutwa ananipigia cm eti ananipenda,ooo mara harus yako ilinoga sana ,we mzuri aisee huyu mke niliemuoa hatuendan ,natamn turudiane na uchafu mwingi mwingi.
Sasa juzi kapost Instagram video yngu fupi niliyokua nikimuimbia mume wangu nyimbo ya Ed sheeran "perfect duet" half chini akaandika " I was d only one deserve this n not that ass" . kaniudh saaaana ,nmfanyej?? Nimwambie my lovely haya makaraha au ninyamaze tu??
Ukimwambia hiyo gharama yake huta kaa uweze kuilipa, usijaribu nakwambia
 
I love that song uliyoimba sana,

Hongera kwa kuingia kwenye ndoa binti.
 
Mamboz?
Jamn kuna watu hata sijui niwaweke kwenye kundi gani,sawa aliwahi kuwa wangu wa "moyo" ila ghafla akabadilika.Mawasiliano akakata na baada ya muda akanitangazia anaoa,basi kwa uhakika akanitumia mipicha ya harusi yake mpk memory ikajaa.ukweli niliumia ila Mungu si Jf namimi nikabarikiwa mume .

Miez miwil iliyopita ndio nilifunga ndoa takatifu, ukweli sikumjulisha coz sikuona sababu ya kufanya hvyo.Ila dunia haina siri taarifa ikamfikia akanipigia cm kunipa hongera basi, kuolewa ni baraka jmn nikawa najikuta tu napost picha na video za harus yngu kwenye status yangu wasap nikimshukuru Mungu. Sasa tangu huyu bwana kajua nimeolewa imekua kero kutwa ananipigia cm eti ananipenda,ooo mara harus yako ilinoga sana ,we mzuri aisee huyu mke niliemuoa hatuendan ,natamn turudiane na uchafu mwingi mwingi.
Sasa juzi kapost Instagram video yngu fupi niliyokua nikimuimbia mume wangu nyimbo ya Ed sheeran "perfect duet" half chini akaandika " I was d only one deserve this n not that ass" . kaniudh saaaana ,nmfanyej?? Nimwambie my lovely haya makaraha au ninyamaze tu??
Mtafute huyo bwege kisha mwambie kinaga ubaga asikufatilie tena, na km akiendelea basi kinukishe kwa shemela ili akomeshwe ki_amberruty
 
"Dancing on the dark
with you between my arms
barefoot on the grass
listening to our favorite song"
Ed sheraan _perfect(my favorite song.)
Madam songa mbele na mmeo achana na huyo mbangua korosho.
 
Mamboz?
Jamn kuna watu hata sijui niwaweke kwenye kundi gani,sawa aliwahi kuwa wangu wa "moyo" ila ghafla akabadilika.Mawasiliano akakata na baada ya muda akanitangazia anaoa,basi kwa uhakika akanitumia mipicha ya harusi yake mpk memory ikajaa.ukweli niliumia ila Mungu si Jf namimi nikabarikiwa mume .

Miez miwil iliyopita ndio nilifunga ndoa takatifu, ukweli sikumjulisha coz sikuona sababu ya kufanya hvyo.Ila dunia haina siri taarifa ikamfikia akanipigia cm kunipa hongera basi, kuolewa ni baraka jmn nikawa najikuta tu napost picha na video za harus yngu kwenye status yangu wasap nikimshukuru Mungu. Sasa tangu huyu bwana kajua nimeolewa imekua kero kutwa ananipigia cm eti ananipenda,ooo mara harus yako ilinoga sana ,we mzuri aisee huyu mke niliemuoa hatuendan ,natamn turudiane na uchafu mwingi mwingi.
Sasa juzi kapost Instagram video yngu fupi niliyokua nikimuimbia mume wangu nyimbo ya Ed sheeran "perfect duet" half chini akaandika " I was d only one deserve this n not that ass" . kaniudh saaaana ,nmfanyej?? Nimwambie my lovely haya makaraha au ninyamaze tu??
M block kila sehemu hata asione kama upo duniani.

Yani hata ukikutana naye kwenye daladala,shuka kituo kinachofuata hata kama si kituo chako, tafuta lingine upande.
 
wewe ndio kilaza, haiwezekani umeolewa halafu bado unawasiliana na maex wako huo ni umalaya. wablock wote kila mahali shenzi type
 
wewe mwenyewe unampenda.......kuwa makini ndoa yako bado changa.....mitandao sio mizuri saaaana......na siku ukimwambia mmeo utajuta mdogo wangu.....kwa kifupi fanya yako.......
 
.............Hii ndiyo aina ya wanawake wanandoa tuliokuwa nao!Sasa wewe dada yangu,unamshukuruje Mungu kupitia status zako w'app Mungu unaemwamini wewe unadhani huwa anapata muda kupita kwenye profile yako kuziangalia?

Ningetegemea useme ulikuwa unaenda kufanya ibada kwenye nyumba ya imani unayoiamini ila unatuma shukurani zako status,kesho na kesho kutwa ndoa yako ikiingia msala usianze kulia Mungu wangu kwanini umeniacha maana ni uzembe wako.

Niishie hapa usije ukasema na mimi inaniuma wewe kuolewa.
Na hicho ndo kihere here alijisemea mchungaji nan sjui cha kupost post sjui kuwaringishia mashost na mabwana wa zamani
 
Back
Top Bottom