Recent content by billduke

  1. billduke

    Full Time | Simba SC 1 - 0 Gor Mahia FC | Simba Day - Septemba 10, 2025; Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam

    Wakuu kuna mtu anajua website yeyote naweza kuangalia simba day maana Azam inazingua mno na inakata sana wala na sienjoy kiukweli.
  2. billduke

    Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

    Msaada: Nawezaje kuweka notification kujua kama ikiwekwa muendelezo?.
  3. billduke

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    [emoji2][emoji2] da nimecheka sana, kwahiyo wamekuwa kulwa na dotto.
  4. billduke

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Mkuu tupo wengi ambao tumemiss vipande vya mwanzo tunaomba utuwekee, thanks.
  5. billduke

    FT: Uganda 0-1 Tanzania: Kufuzu Afcon 2023 group E

    Mkuu hii link mbona inakataa
  6. billduke

    FT: Uganda 0-1 Tanzania: Kufuzu Afcon 2023 group E

    Wakuu mwenye link wengine tupo mbali na TV.
  7. billduke

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kusema ukweli wananichanganya tu nasubiria mpaka waseme nani kashinda apewe team.
  8. billduke

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mkuu mimi sio mtu wa kuamini mambo ya kubet ila naona mara ya 3 mfululizo unapatia.
  9. billduke

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hope hiyo deal inaweza fanikiwa.
  10. billduke

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Haamini kama Legendary wake kaongea maneno ya ukweli, ujue nini wenzetu hawanaga unafiki kama sisi wabongo wanaongea ukweli hata kama wengine hawapendi kuusikia.
  11. billduke

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Aliongea baada ya mpira kuisha, tafuta sky sports comment yake utaiona au kwenye vyanzo mbali mbali vya michezo. Mfano kama hii hapa.
  12. billduke

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kama nyinyi Arsenal mlivyokuwa mnapitia sio?
  13. billduke

    Peter Drury huyu jamaa anajua kutangaza

    Nakubali na wewe mkuu huyu Martin Tyler alikuwa na mwenzie Andy Gray Enzi hizo Skysports wakitangaza mpala raha takwimu na information plus history za wachezaji.
  14. billduke

    Hans Pope: Manara hataki kusaini mkataba ambao atalipwa milioni 4

    Mkuu nimekupata vizuri kwa andiko lako limejaa point tupu. Ngoja tusubirie hiyo jumatatu tuone kama atasema.
  15. billduke

    Yanga yamkataa mwamuzi Ahmed Arajiga kuchezesha fainali Kombe la Shirikisho Julai 25, 2021

    Yanga wanacheza na akili ya mwamuzi washaanza kumtia pressure ili awape upande wao kimaamuzi aogope.
Back
Top Bottom