Recent content by biling

  1. biling

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei za Semi Trailers zilizotumika 'used'

    Naomba kufahamishwa bei gani naeza pata trailer kichanja zile used ambazo imported au zile kutoka kwa mtu hapa bongo zile za kichanja. Je, kwa bajeti ya milion 15 naeza pata trailer nzuri kabisa? Natanguliza shukran zangu.
  2. biling

    JamiiForums Tanzania Biashara ya salon za kiume na kike

    Nashukuru saana mkuu ubarikiwe
  3. biling

    JamiiForums Tanzania Biashara ya salon za kiume na kike

    Ya Yaah kipo kila kitu kaka kasoro full body massage tu.
  4. biling

    JamiiForums Tanzania Biashara ya salon za kiume na kike

    Kaka nimeajiri watu wapo hapo wanaendesha ndio hvo kila siku napata hzo report za kawaida.
  5. biling

    JamiiForums Tanzania Biashara ya salon za kiume na kike

    Habari zenu wakuu. Katika kupitia mawazo ya humu na research yangu ndogo nilofanya niliweza kufungua barbershop yangu maeneo ya Sinza Mori. Toka nimefungua hii ni wiki ya 2 nimeanza wiki ya tatu lkn kusema ukweli biashara imekuwa ya kawaida sana yani tofauti hata na malengo yangu. Ningependa...
  6. biling

    JamiiForums Tanzania Generator inayofaa kwa matumizi ya Barbershop

    Habari zenu wakuu nauliza hivi ni generator gani na yenye uwezo gani kwa matumizi ya barbershop na tafadhali ningependa kujua bei zake. Iweze kusukuma vitu kama ac, water heater and mengineyo.
  7. biling

    JamiiForums Tanzania Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

    kaka mamobo vp? ningependa kujua bei ya LG G5 sh au used but in excelent condition iphone 6s or s+ ni ngap kwa sasa hapo dukan kwako coz kwa sasa nipo mkoan natarajia kuja dar mwezi january mapema. Na vp hzo simu zako ni international versions coz sometime unaeza chukua simu iliyotengenezwa in...
  8. biling

    JamiiForums Tanzania Please! mwenye kuifahamu creative minds association limited.

    duuuh!! mbona mmenitisha saaana km ni hao nshakata tamaa tayari.
  9. biling

    JamiiForums Tanzania Please! mwenye kuifahamu creative minds association limited.

    tafadhali jamani wakuu nilikuwa naomba kama kuna mtu anaifaham hiyo association hapo juu. sababu niliona tanagazo lao pale zoom lenye heading ya graduates entrepreneurship project hivyo nimepata sms yao iknitaka kuhudhulia project presentation itakayofanyika ofisini kwao maeneo ta oysterbay. so...
  10. biling

    JamiiForums Tanzania Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Wakuu tafdhali naomba kujua kuhusu kodi, ni kwamba tofauti na dhl hizo kampuni nyingne za usafirishaji kama posta na nyingnezo nazo pia suala la kodi ni lazima ulipie? Kwa mfano nimeagiza simu au nguo za kuvaa labda moja hii imekaaje wakuu naomba kujuzwa maana nimekuwa inspired sana na hii...
  11. biling

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Jamani inawezekana kupanda pamoja zao la ufuta na mbaazi na pia matokeo yake yakoje kwa kila zao. Tafadhali naomba nijuzwe sababu nahitaji kufanya project ya kilimo mwaka huu.
  12. biling

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy mega 6.3, 5.8 vs Samsung s3 ipi ni simu bora kwa matumizi

    Asante mkuu nimekupata.
  13. biling

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy mega 6.3, 5.8 vs Samsung s3 ipi ni simu bora kwa matumizi

    Wadau wangu naomba kufaham comparison ya hizo simu hapo juu ktk ubora wake na pia naomba ushauri simu gani ni nzuri kuwa nayo kwa maana ya kununua kati ya hizo maana katika kufatilia kwangu naona specification nying zinafana. Sasa nashindwa kufanya uchaguzi sahihi.
Back
Top Bottom