mwaka jana nimenunua laki 3 kamili pale msimbazi mobile leo laki 4 labda km umechanganya beikaka m2 ipo..bei 400k
mwaka jana nimenunua laki 3 kamili pale msimbazi mobile leo laki 4 labda km umechanganya beikaka m2 ipo..bei 400k
Iphone gani??Chaja Original ya iPhone ni shingapi?
6s plus, 64GB shilingi ngapi now?Mzigo mpya wa simu kali za kisasa, tablets, ipads na laptops umeingia! Wahi ujipatie kwa bei cheee kabsa kuliko popote pale tanzania hii...0654776976
salama kaka, LG G5 zipo aysee...bei ni 800k, iphone 6s zipo nazo bei ni 1.1mil, 6s + bei ni kuanzia 1.3milkaka mamobo vp? ningependa kujua bei ya LG G5 sh au used but in excelent condition iphone 6s or s+ ni ngap kwa sasa hapo dukan kwako coz kwa sasa nipo mkoan natarajia kuja dar mwezi january mapema. Na vp hzo simu zako ni international versions coz sometime unaeza chukua simu iliyotengenezwa in respect of nchi fulani then badae ukaziunlock ambapo badae huwa zinaleta shida hizi simu ktk connections. Asante